Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Amnesty yazilaumu Libya na Ulaya kwa vitendo vya udhalilishaji wa kingono kwa wahajiri

    Amnesty yazilaumu Libya na Ulaya kwa vitendo vya udhalilishaji wa kingono kwa wahajiri

    Jul 15, 2021 11:31

    Shirika la Amnesty International limelaani vitendo vya udhalilishaji wa kutisha wa kingono wanavyofanyiwa wahajiri wanaorejeshwa Libya kwa ushirikiano na nchi za Ulaya baada ya kujaribu kuvuka Bahari ya Mediterania.

  • Haftar azuiwa kugombea katika uchaguzi ujao wa Libya

    Haftar azuiwa kugombea katika uchaguzi ujao wa Libya

    Jul 12, 2021 02:26

    Kiongozi wa Baraza Kuu la Libya amepinga suala la wanajeshi kugombea katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo akiwemo kamanda wa kundi la wanamgambo wa linalojiita Jeshi la Kitaifa la Libya, Khalif Haftar.

  • Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva

    Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva

    Jul 04, 2021 10:04

    Katika hali ambayo jitihada za kuleta amani na usalama wa kudumu na kuitishwa uchaguzi wa haki utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa zinaendelea, taarifa iliyotolewa hivi karibuni kuhusu Libya si ya kufurahisha hata kidogo.

  • Guterres asema ana wasiwasi kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Libya

    Guterres asema ana wasiwasi kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Libya

    Jun 27, 2021 15:41

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ana wasiwasi kuhusu hali mbaya ya masuala ya kibinadamu huko Libya.

  • Italia yakanusha madai ya kutaka kuimarisha uwepo wa askari wake Libya

    Italia yakanusha madai ya kutaka kuimarisha uwepo wa askari wake Libya

    Jun 27, 2021 07:34

    Wizara ya Ulinzi ya Italia imekadhibisha madai ya baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rome ina mpango wa kuongeza idadi ya wanajeshi wake nchini Libya.

  • Kongamano la pili la amani ya Libya; sisitizo la kuondolewa askari wa kigeni

    Kongamano la pili la amani ya Libya; sisitizo la kuondolewa askari wa kigeni

    Jun 25, 2021 12:03

    Kongamano la pili la amani ya Libya limeendelea kufanyika huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani huku juhudi za kimataifa zikifanywa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Libya na kuandaliwa mazingira ya kufanyika kwa amani na uhuru uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hapo mwezi Disemba mwaka huu.

  • Wasichana wahajiri wa Kiafrika wananajisiwa na hata kupewa ujauzito katika kambi ya EU, Libya

    Wasichana wahajiri wa Kiafrika wananajisiwa na hata kupewa ujauzito katika kambi ya EU, Libya

    Jun 21, 2021 12:42

    Kundi la wasichana wahamiaji waliowekwa katika kituo kinachosimamiwa na serikali ya Libya wamewashutumu walinzi wa kituo hicho, kinachofadhiliwa na Umoja wa Ulaya, kwamba wanawabaka na kuwanyanyasa kingono.

  • Mangoush: Libya haitaruhusu ardhi yake itumiwe dhidi ya nchi nyingine

    Mangoush: Libya haitaruhusu ardhi yake itumiwe dhidi ya nchi nyingine

    Jun 12, 2021 02:51

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya amesema kuwa nchi yake haitakubali kutumiwa kama kituo cha kuvuruga amani na utulivu katika kanda hiyo ya Afrika au kutumiwa ardhi na anga yake dhidi ya upande wowote mwingine.

  • Sisitizo la Macron kuhusu kusitishwa uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Sisitizo la Macron kuhusu kusitishwa uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Jun 03, 2021 13:27

    Katika hali ambayo kunafanyika jitihada za kuhitimisha mgogoro wa Libya ili uchaguzi utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa ufanyike, uwepo wa wanajeshi wa kigeni na uingiliaji wa madola ajinabi katika mchakato wa amani nchini humo vinatambuliwa kuwa ni kizuizi katika kufikia amani ya kudumu.

  • Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya akutana na Rais wa Tunisia

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya akutana na Rais wa Tunisia

    May 31, 2021 07:23

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya amehimiza kurahishishwa mawailiano na sekta ya uchukuzi baina ya nchi yake na Tunisia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS