Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Mjumbe wa UN: Mamluki walioko Libya ni tishio kwa Afrika ya Kaskazini

    Mjumbe wa UN: Mamluki walioko Libya ni tishio kwa Afrika ya Kaskazini

    May 23, 2021 02:49

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametahadharisha katika kikao cha Baraza la Usalama kwamba mchakato muhimu wa kuwaondoa mamluki na wapiganaji wa kigeni kutoka Libya umekwama na kwamba kuendelea kuwapo kwao nchini humo ni tishio sio tu kwa Libya bali kwa eneo zima la Kaskazini mwa Afrika.

  • EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya

    EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya

    May 21, 2021 03:37

    Kamishna wa Mambo ya Ndani katika Umoja wa Ulaya (EU) Ylva Johansson, amesema umoja huo unashauriana na Tunisia na Libya ili kufikia mapatano yatakayowezesha kuzuia wahajiri wasielekee barani ya Ulaya.

  • Katibu Mkuu wa UN: Wapiganaji wa kigeni wangaliko Libya, ni ukiukaji wa usitishaji vita

    Katibu Mkuu wa UN: Wapiganaji wa kigeni wangaliko Libya, ni ukiukaji wa usitishaji vita

    May 15, 2021 13:47

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, wapiganaji wa kigeni na mamluki wangali wako nchini Libya, ukiwa ni ukiukaji wa mapatano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa mwaka jana; na akatoa mwito waondolewe nchini humo na kukomeshwa pia ukiukaji wa vikwazo vya silaha vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa.

  • Baraza Kuu la utawala Libya lalaani uingiliaji wa nchi za Magharibi katika mchakato wa uchaguzi

    Baraza Kuu la utawala Libya lalaani uingiliaji wa nchi za Magharibi katika mchakato wa uchaguzi

    May 09, 2021 02:13

    Baraza Kuu la Serikali ya Libya limelaani uingiliaji kati wa nchi za Magharibi katika mchakato wa uchaguzi mkuu nchini humo.

  • Takwa na sisitizo la kuondoka vikosi vya kigeni nchini Libya

    Takwa na sisitizo la kuondoka vikosi vya kigeni nchini Libya

    May 05, 2021 02:11

    Baada ya kupita miezi kadhaa tangu kuanza mwenendo wa amani nchini Libya na kuweko juhudi kubwa za kuitisha uchaguzi wa nchi hiyo baadaye mwaka huu, uwepo wa vikosi vya kigeni na vituo vyao vya kijeshi kumeendelea kuwa kikwazo katika njia hiyo.

  • Al-Mushiri: Haftar ni tishio kwa uchaguzi mkuu wa Libya

    Al-Mushiri: Haftar ni tishio kwa uchaguzi mkuu wa Libya

    May 02, 2021 03:05

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Libya amesema kutosalimu amri kwa kamanda wa linalojiita jeshi la taifa mbele ya mamlaka au sheria yoyote ni tishio kwa chaguzi zijao za Bunge na Rais.

  • Wahajiri 130 wahofiwa kufariki dunia baada ya mtumbwi wao kuzama nchini Libya

    Wahajiri 130 wahofiwa kufariki dunia baada ya mtumbwi wao kuzama nchini Libya

    Apr 23, 2021 07:35

    Taarifa kutoka nchini Libya zinasema kuwa, mtumbwi mmoja uliokuwa umebeba watu 130 umezama karibu na fukwe za nchi hiyo.

  • Usalama wa kikanda; ajenda ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Algeria na Libya

    Usalama wa kikanda; ajenda ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Algeria na Libya

    Apr 20, 2021 07:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria jana Jumatatu alikutana na mwenzake wa Libya na kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kikanda na kuziunga mkono pande za Libya kwa lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Interpol yakamata makumi ya wafanya magendo ya binadamu

    Interpol yakamata makumi ya wafanya magendo ya binadamu

    Apr 11, 2021 03:36

    Polisi ya Kimataifa (Intepol) imesema imewatia mbaroni wafanya magendo ya binadamu zaidi ya 80, na wasafirishaji haramu wa wahajiri wapatao 63 katika opersheni iliyofanyika katika nchi 24 duniani.

  • Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya

    Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya

    Mar 27, 2021 02:30

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS