-
Misri yaionya Uturuki, yasema operesheni dhidi ya mji wa Sirte huko Libya ni hatua hatari sana
Jul 14, 2020 10:52Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Misfri amekosoa vikali matamshi yaliyotolewa na mwenzake wa Uturuki kwamba Ankara inajitayarisha kushiriki katika operesheni ya kijeshi katika mji wa Sirte huko Libya na kusema matamshi hayo kuwa ni hatari kubwa.
-
IOM: Wahajiri 2,300 wanazuiliwa katika mazingira ya kuogofya Libya
Jul 14, 2020 08:03Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema maelfu ya wahajiri wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha huko nchini Libya.
-
Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria
Jul 13, 2020 04:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amekosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria.
-
Uturuki: Usitishwaji vita Libya utategemea Haftar kuafiki kuondoa askari wake
Jul 12, 2020 14:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa, itaafiki mpatano ya usitishwaji vita iwapo tu jenerali muasi Khalifa Haftar ataondoa wapiganaji wake walioko maeneo ya kati na magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sisitizo la Russia la kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya
Jul 12, 2020 02:33Mgogoro wa kisiasa na vita vya Libya bado vinaendelea sambamba na jitihada zinazofanyika kikanda na kimataifa kwa ajili ya kupatikana ufumbuzi wa mgogoro huo.
-
Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jul 10, 2020 02:24Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.
-
Guterres: Uingiliaji wa kigeni wa hivi sasa Libya haujawahi kushuhudiwa
Jul 09, 2020 15:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa madola ya kigeni katika mgogoro wa Libya unaoshuhudiwa hivi sasa upo katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tena huko nyuma.
-
Lavrov: Haftar yuko tayari kusaini makubaliano ya kusitisha vita nchini Libya
Jul 09, 2020 00:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa wanamgambo wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya wako tayari kusaini makubaliano ya kusitisha vita nchini humo.
-
GNA Libya yaapa kujibu mapigo kwa waliokishambulia kituo cha anga cha al-Watiya
Jul 06, 2020 11:19Naibu Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA) amesema, vikosi hivyo vitajibu mapigo katika wakati na mahali mwafaka kwa waliohusika na shambulio dhidi ya kituo cha anga cha al-Watiya.
-
Rais wa Ageria: Libya itakuwa Somalia mpya barani Afrika
Jul 05, 2020 09:19Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, hali inayoshuhudiwa sasa nchini Libya inafanana na ile ya Syria kutokana na nchi kadhaa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.