Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Uturuki yasisitiza kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya

    Uturuki yasisitiza kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya

    Jul 05, 2020 03:53

    Waziri wa Ulinzi wa Uturuki ameutembelea mji mkuu wa Libya Tripoli, na kusema nchi yake itaendelea kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA).

  • Misri yawasiliana na mtoto wa Gaddafi ili kujinufaisha kiuchumi nchini Libya

    Misri yawasiliana na mtoto wa Gaddafi ili kujinufaisha kiuchumi nchini Libya

    Jul 04, 2020 11:50

    Baadhi ya duru za Misri zimesema kuwa, mashirika ya kijasusi ya nchi hiyo yamewasiliana na mwana wa kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi kwa ajili ya kumshinikiza kisiasa na kujinufaisha na fursa za kiuchumi nchini humo.

  • Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya

    Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya

    Jul 02, 2020 02:15

    Balozi wa Uturuki mjini Paris ameituhumu Ufaransa kuwa inaegemea upande mmoja na kwamba imefumbia macho jinai zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri nchini Libya.

  • Nchi za Sahel Afrika zaomba kufutiwa madeni yote kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi

    Nchi za Sahel Afrika zaomba kufutiwa madeni yote kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi

    Jul 01, 2020 11:22

    Mkutano wa nchi Sahel Afrika na Ufaransa umetoa wito wa kufutwa madeni yote ya nchi hizo ili kusaidia juhudi za kupambana na athari mbaya zilizosababishwa na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, mapambano dhidi ya ugaidi na mikakati ya ustawi na maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

  • Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kupuuzwa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya

    Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kupuuzwa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya

    Jul 01, 2020 02:26

    Katika hali ambayo mgogoro wa Libya ungali unaendelea kutokota sambamba na uingiliaji wa madola mbalimbali katika masuala ya ndani ya nchi hiyo huku misaada ya kijeshi ya kisilaha ikiwa imeifanya hali ya nchi hiyo kuzidi kuwa mbaya, Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, vikwazo vya silaha dhidi ya Libya daima vimekuwa vikikiukwa na jambo hilo kufanyiwa mzaha.

  • Serikali ya Libya: kukombolewa Sirte na Jufra ni jambo la dharura

    Serikali ya Libya: kukombolewa Sirte na Jufra ni jambo la dharura

    Jun 29, 2020 03:55

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA) imesema kuwa suala la kukomboa miji ya Sirte na Jufra kutoka mikononi mwa wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar ni jambo lenye udharura mkubwa baada ya kutumwa mamluki wa kigeni nchini humo.

  • Vuta nikuvute katika uhusiano wa Ufaransa na Uturuki juu ya kadhia ya Libya

    Vuta nikuvute katika uhusiano wa Ufaransa na Uturuki juu ya kadhia ya Libya

    Jun 25, 2020 02:35

    Misuguano iliyojitokeza katika uhusiano wa nchi mbili za Ufaransa na Uturuki kutokana na kadhia ya Libya imezusha hali mbaya na anga chafu katika mahusiano ya pande hizo mbili.

  • Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Jun 23, 2020 07:34

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.

  • Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi

    Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi

    Jun 23, 2020 07:07

    Msemaji wa mkuu wa siasa za nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kwamba mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kwa njia ya kijeshi.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya yajibu matamshi ya al Sisi

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya yajibu matamshi ya al Sisi

    Jun 23, 2020 02:33

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya amejibu matamshi ya karibuni ya Rais wa Misri kuhusu uingiliaji wa moja kwa moja wa nchi hiyo katika masuala ya ndani ya Libya akisema kuwa yanakinzana na azimio la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS