-
Rais wa Libya, Fayez al Sarraj, abainisha wasi wasi kuhusu uwepo wa askari wa UAE nchini humo
Jan 21, 2020 21:33Rais wa Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya Fayez al Sarraj amebainisha wasiwasi wake kuhusu kuendelea kuwepo askari wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini humo.
-
Mkutano wa Berlin na jitihada za kuhitimisha mgogoro wa Libya
Jan 21, 2020 03:28Vita vingali vinaendelea nchini Libya wakati jitihada zinazofanywa kikanda na kimataifa za kukomesha mapigano katika nchi hiyo zikiingia katika awamu mpya.
-
EU: Mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya
Jan 20, 2020 20:47Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya na Mkuu wa Sera za Kigeni wa umoja huo wamesema kuwa, njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya ni mazungumzo ya kisiasa.
-
Morocco yalalamikia kutoalikwa Rabat kwenye mkutano wa amani ya Libya
Jan 19, 2020 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amelalamikia kitendo cha kutoalikwa nchi yake kushiriki mkutano wa amani ya Libya mjini Berlin, Ujerumani na akasema vigezo vinavyotumiwa kuchagua nchi kushiriki katika mkutano huo vinaibua maswali mengi.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu hali mbaya wanayokabiliwa nayo watoto wa Libya
Jan 18, 2020 04:20Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kwamba, mashambulio ya kiholela dhidi ya makazi ya raia nchini Libya yameifanya hali ya watoto na raia nchini humo izidi kuwa mbaya.
-
UN yafurahishwa na mkutano wa Berlin wa kujadili mgogoro wa Libya
Jan 16, 2020 07:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii nzima ya kimataifa kukiunga mkono kikao cha Berlin, Ujerumani cha kutafuta njia za kuutatua kisiasa mgogoro wa Libya.
-
Bunge la Kiarabu lamuunga mkono Haftar na kutaka kuondoka Uturuki huko Libya
Jan 15, 2020 23:31Bunge la Kiarabu limewaunga mkono wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar na limetaka kuondoka wanajeshi wa Uturuki huko Libya.
-
Juhudi za kidiplomasia za kurejesha amani na utulivu nchini Libya
Jan 14, 2020 07:02Kupanuka wigo wa mgogoro wa Libya kumepelekea kuongezeka juhudi zenye lengo la kuupatia ufumbuzi mzozo wa nchi hiyo kupitia njia za kidiplomasia.
-
Jenerali Haftar akataa kusaini makubaliano ya amani ya Libya, Moscow
Jan 14, 2020 04:45Kamanda wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya, Khalifa Haftar aliyekuwa Moscow nchini Russia kwa ajili ya kusaini mapatano na viongozi wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya ameondoka Russia bila ya kusaini hati ya makubaliano ya amani.
-
Fayez al-Sarraj azitaka pande hasimu Libya kufanya suluhu
Jan 13, 2020 04:13Waziri Mkuu wa Serikali ya Maridhiano ya Kitaifa ya Libya, Fayez al-Sarraj amezitaka pande zinazoshiriki katika mapigano kufikia suluhu.