-
Wapiganaji wa Haftar wakiuka mapatano ya usitishahaji vita Libya
Jan 12, 2020 11:57Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya (GNU) imewatuhumu wapiganaji wa jenerali muasi Khalifa Haftar kuwa wamekiuka mapatano mapya ya usitishwaji vita.
-
Usitishaji vita watekelezwa Libya huku vikosi vya Haftar vikiituhumu GNA kuwa imeukiuka
Jan 12, 2020 07:06Vikosi vitiifu kwa Khalifa Haftar, kiongozi wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) vimeituhumu Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya nchi hiyo GNA kuwa imeyakiuka makubaliano hayo.
-
Askari 20 wa Khalifa Haftar wauawa katika mapigano ya Tripoli
Jan 12, 2020 02:38Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetangaza kuwa askari wasiopungua 20 wa linalojiita jeshi la taifa la Libya chini ya uongozi wa Jenerali Khalifa Haftar wameuawa katika mapigano ya kutaka kudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Vikosi vya Haftar vyaukataa wito wa Russia na Uturuki wa kusitisha vita nchini Libya
Jan 10, 2020 07:50Vikosi vya kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar limeukataa wito uliotolewa na Russia na Uturuki wa kuhitimisha mapigano nchini Libya.
-
Wanamgambo watiifu kwa jenerali muasi Libya wauteka mji wa pwani wa Sirte
Jan 07, 2020 12:50Wanamgambo watiifu kwa Jenerali Muasi Khalifa Haftar wameuteka mji wa pwani wa nchi hiyo wa Sirte, huku Uturuki ikiwa tayari imeanza kutuma wanajeshi wake kuisaidia serikali ya Libya yenye makao yake huko Tripoli inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa.
-
Uturuki yaanza kutuma vikosi vya jeshi lake nchini Libya
Jan 06, 2020 08:00Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimeanza kuelekea nchini Libya, kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya (GNA) inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj.
-
28 wauawa katika shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi Libya
Jan 05, 2020 07:41Kwa akali watu 28 wameuawa katika shambulizi la anga lililolenga chuo cha kijeshi katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Bunge la Uturuki laidhinisha kutumwa askari wa nchi hiyo Libya
Jan 03, 2020 02:53Bunge la Uturuki limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kutumwa wanajeshi wa nchi hiyo huko Libya.
-
Uturuki: Hatutapeleka askari Libya ikiwa vikosi vya Haftar vitasitisha mashambulio dhidi ya Tripoli
Jan 02, 2020 03:53Makamu wa Rais wa Uturuki Fuat Oktay amesema, nchi yake haitapeleka askari Libya ikiwa vikosi vya kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar vitasitisha mashambulio dhidi ya mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.
-
Arab League yaonya juu ya kutumwa majeshi ajinabi Libya
Jan 01, 2020 08:00Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeziasa pande hasimu za kisiasa nchini Libya kujiepusha na hatua yoyote ambayo itachochea kutumwa vikosi vya nchi za kigeni katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.