Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Khalifa Haftar anajaribu kueneza wigo wa kimataifa wa mgogoro wa Libya

    Khalifa Haftar anajaribu kueneza wigo wa kimataifa wa mgogoro wa Libya

    Jan 01, 2020 07:52

    Baada ya kupinduliwa utawala wa Muammar Gaddafi huko Libya mwaka 2011, nchi hiyo ilitumbukia katika vita vya ndani na hivi sasa kuna serikali mbili hasimu, moja ya mashariki na nyingine ya magharibi mwa nchi hiyo ambapo vikosi vya pande hizo mbili vinaendelea kupigana,

  • Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya Haftar dhidi ya raia huko Libya

    Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya Haftar dhidi ya raia huko Libya

    Dec 30, 2019 03:14

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametoa taarifa jana usiku akilaani mashambulizi ya anga yanayofanywa na kundi kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya dhidi ya raia wa nchi hiyo chini ya uongozi wa Khalifa Haftar.

  • Uturuki yaonya kuhusu hatari ya Libya kugeuka kuwa Syria

    Uturuki yaonya kuhusu hatari ya Libya kugeuka kuwa Syria

    Dec 29, 2019 13:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu, ambaye nchi yake inajitayarisha kutuma wanajeshi Libya ameonya kuwa, kuendelea mgogoro wa Libya kwa muda mrefu kunaweza kuitumbukiza nchi hiyo katika hali mbaya zaidi na kuigeuza kuwa sawa na Syria.

  • Mawaziri wanne wa Ulaya kutembelea Libya

    Mawaziri wanne wa Ulaya kutembelea Libya

    Dec 29, 2019 02:53

    Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya imetangaza kuwa, mawaziri wa mambo ya nje wa Italia, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wanatazamiwa kutembelea mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Putin asisitiza ulazima wa kutatuliwa kwa amani mgogoro wa Libya

    Putin asisitiza ulazima wa kutatuliwa kwa amani mgogoro wa Libya

    Dec 27, 2019 07:25

    Rais wa Russia amemhutubu na kumsisitizia Waziri Mkuu wa Italia kuwa mgogoro wa Libya unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani.

  • Al Sisi: Misri inaunga mkono ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya

    Al Sisi: Misri inaunga mkono ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya

    Dec 27, 2019 02:23

    Rais wa Misri amesema kuwa nchi yake inataka kulinda ardhi kamili ya Libya na inakaribisha utatuzi wa kisiasa wa mgogoro wa nchi hiyo.

  • Rais Erdogan wa Uturuki afanya safari ya ghafla Tunisia kujadili usitishaji vita nchini Libya

    Rais Erdogan wa Uturuki afanya safari ya ghafla Tunisia kujadili usitishaji vita nchini Libya

    Dec 26, 2019 07:52

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki jana alifanya safari ya ghafla nchini Tunisia kujadili namna ya kushirikiana na nchi hiyo ili kutafuta uwezekano wa kufanikisha usitishaji vita katika nchi jirani ya Libya, ambapo Ankara ni muungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo inayotambuliwa rasmi kimataifa.

  • Jumanne, tarehe 24 Disemba, 2019

    Jumanne, tarehe 24 Disemba, 2019

    Dec 24, 2019 04:28

    Leo ni Jumanne tarehe 27 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na Disemba 24 mwaka 2019.

  • Mgogoro wa Libya na uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Mgogoro wa Libya na uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Dec 24, 2019 04:26

    Tukio la kutiwa saini makubaliano ya kijeshi na kiusalama na ushirikiano wa baharini kati ya Uturuki na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya limezikasirisha nchi kadhaa za kikanda na nje ya kanda hiyo.

  • Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yapinga mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ugiriki na Haftar

    Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yapinga mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ugiriki na Haftar

    Dec 23, 2019 13:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amelaani safari ya waziri mwenzake wa Ugiriki huko mashariki mwa Libya na mazungumzo aliyofanya na Khalifa Haftar na viongozi wa serikali inayomuunga mkono.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS