-
Unicef: Mamilioni ya watoto wanasumbuliwa na utapiamlo
Oct 17, 2019 01:40Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamilioni ya watoto duniani wanasumbuliwa na utapiamlo.
-
Umoja wa Mataifa waitaka DRC kupunguza wanajeshi wake mkoani Kasai
Jun 25, 2017 07:54Mshauri maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezihimiza mamlaka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupunguza wanajeshi wake katika mkoa wa Kasai, baada ya kuibuka vurugu mbaya za mauaji katika miezi ya hivi karibuni.
-
Save the Children: Utapiamlo mkali unatia wasiwasi nchini Somalia
Apr 22, 2017 06:29Shirika la kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, kiwango cha utapiamlo mkali kinachoshuhudiwa nchini Somalia kinatia wasiwasi.
-
UNICEF yaonya kuhusu lishe duni kwa watoto wa Afrika
Feb 18, 2016 02:11Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema kuwa, kuna watoto milioni moja wana lishe duni barani Afrika