-
Kadhaa wauawa katika maandamano ya kushinikiza utawala wa kiraia Chad
Apr 27, 2021 08:37Kwa akali watu wawili wameuawa huku wengine 27 wakijeruhiwa katika maandamano ya ghasia yaliyozuka nchini Chad, kushinikiza utawala wa kiraia. Baraza la Kijeshi lilitangaza kuchukua hatamu za uongozi wa nchi kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby.
-
Maandamano makubwa ya wananchi wa Bahrain ya kutaka kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa
Apr 17, 2021 22:02Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano makubwa ambapo sambamba na kulalamikia mazingira mabaya ya wafungwa wa nchi hiyo hasa baada ya kuongeza idadi ya walioambukizwa virusi vya corona miongoni mwao, wametoa wito wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya
Mar 21, 2021 04:10Maafisa wa polisi katika nchi kadhaa za Ulaya wamekosolewa kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuzima maandamano ya wananchi wanaopinga maagizo mapya ya serikali za nchi hizo yaliyotangazwa kwa ajili kuzuia msambao wa wimbi la tatu la virusi vya Corona.
-
4 wauawa katika maandamano ya kupinga kukamatwa kinara wa upinzani Senegal
Mar 06, 2021 04:44Kwa akali watu wanne wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya ghasia ya kulalamikia kitendo cha maafisa usalama kumtia mbaroni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Senegal.
-
Maelfu ya wananchi wa Tunisia waandamana mjini Tunis kuiunga mkono serikali
Feb 28, 2021 04:32Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano kufuatia mwaliko wa chama tawala cha An Nahdhah na kwa lengo la kuiunga mkono serikali ya nchi hiyo.
-
Netanyahu kizimbani kujibu mashitaka ya ufisadi, maandamano yashtadi
Feb 08, 2021 08:34Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amepandishwa kizimbani, kujibu mashitaka ya ufisadi yanayomkabili, huku faili lake likifunguliwa upya wiki chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Bunge.
-
Maandamano yaendelea ndani ya Israel; Netanyahu ayafumbia macho na kuendeleza siasa za chuki dhidi ya Iran
Feb 01, 2021 23:28Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel wamefanya maandamano kwa wiki ya 32 mfululizo dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Jan 23, 2021 09:01Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kupinga uwezekano wowote wa kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi
Jan 17, 2021 04:25Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa nchi kulaani hatua ya Marekani ya kuliweka jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi na kuitaka ifutilea mbali uamuzi wake huo.
-
Wairaq kufanya maandamano mamilioni leo kukumbuka siku waliyouawa shahidi makamanda wa muqawama
Jan 02, 2021 23:24Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, lengo la maandamano makubwa yatakayofanywa leo na wananchi wa Iraq kwa mnasaba wa kukumbuka siku walipouliwa shahidi makamanda wa muqawama ni kutangazwa upinzani dhidi ya uwepo kijeshi wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.