-
Iran yakadhibisha madai ya US kuwa inakandamiza uhuru wa kuabudu
Aug 16, 2017 14:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali madai yaliyotolewa na Marekani kwamba hakuna uhuru wa kuabudu hapa nchini.
-
Viongozi wa kidini nchini Rwanda waunga mkono upangaji uzazi
Feb 12, 2017 07:55Viongozi wa kidini nchini Rwanda wamekutana katika mji mkuu Kigali kujadili njia za kuboresha afya ya uzazi.
-
Rouhani: Dini na Madhehebu anuwai zimeimarisha umoja wa kitaifa Iran
Dec 11, 2016 14:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa dini na madhehebu anuwai hapa nchini umesaidia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.
-
Buhari akanusha madai ya kuzuka mpasuko wa kidini Nigeria
Aug 03, 2016 07:57Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amekanusha madai kwamba serikali yake inafanya kila iwezalo kuleta mgawanyiko na matafaruku wa kidini nchini humo.
-
Mwinyi: Tofauti za kidini zisiwagawanye Watanzania
Jun 18, 2016 03:53Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ameshutumu vikali kile alichokitaja kuwa udini na kuwataka Watanzania kutoruhusu tofauti zao za kidini na kimadhehebu kuwa chanzo cha mgawanyiko miongoni mwao.