-
Makumi wapoteza maisha kutokana na athari za mvua Ethiopia
May 11, 2016 07:05Kwa akali watu 50 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Ethiopia.
-
21 Wathibitishwa kufariki katika jengo lililoporomoka Nairobi
May 02, 2016 16:56Hadi sasa watu 21 wamethibitishwa kupoteza maisha katika jengo lililporomoka kwenye mji mkuu wa Kenya Nairobi siku ya Ijumaa.
-
Gari ilivyosombwa na maji ya mafuriko Kenya
May 01, 2016 09:22Mara nyingi uamuzi wa mtu mwenyewe ndio unaomtumbukiza kwenye matatizo kama ilivyojiri kwa derehe huyu wakati alipojaribu kuvuka daraja lililofunikwa na mafuriko nchini Kenya.
-
Madai ya serikali ya Msumbiji kuhusu usiri katika deni la nchi hiyo
Apr 30, 2016 04:13Waziri Mkuu wa Msumbiji amesema kuwa, machafuko nchini humo ndiyo sababu kuu iliyoifanya serikali kuamua kuficha habari kuhusu deni la dola bilioni moja na laki nne la nchi hiyo kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF.
-
Watu saba wapoteza maisha kufuatia mvua kali Nairobi
Apr 30, 2016 04:07Watu saba wanaripotiwa kupoteza maisha siku ya Ijumaa katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kufuatia mvua kali zinazoendelea mjini humo.
-
Mvua kubwa yaendelea kunyesha Afrika Mashariki; baadhi ya maeneo ya Kenya na Tanzania yakumbwa na mafuriko
Apr 29, 2016 07:22Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika ukanda wa Afrika Mashariki imesababisha vifo, hasara na mali na mafuriko katika nchi za Kenya na Tanzania.
-
Mafuriko yaua watu wawili Tanzania
Apr 15, 2016 07:49Watu wawili wamethibitishwa kufariki dunia na mamia ya wengine kuachwa bila makao baada ya mvua kubwa kunyesha kwa wiki moja katika wilaya ya Kyela, kusini magharibi mwa Tanzania.