-
Hali ya dharura yatangazwa Pakistan baada ya mafuriko kuua zaidi ya 900
Aug 27, 2022 11:14Serikali ya Pakistan imetangaza hali ya dharura baada ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali za msimu kusababisha vifo vya mamia ya watu.
-
Watu 180 waaga dunia kutokana na mafuriko nchini Afghanistan
Aug 26, 2022 07:16Watu wasiopungua 180 wamefariki dunia nchini Afghanistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zilizonyesha hivi karibuni.
-
Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan
Aug 14, 2022 07:27Makumi ya watu wameaga dunia kufuatia mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Sudan.
-
Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran
Jul 29, 2022 10:11Mkuu wa Mkoa wa Tehran amesema watu tisa ameuawa kufuatia mafuriko usiku wa kuamkia Ijumaa katika wilaya ya Firuzkuh iliyo katika milima ya mashariki mwa Tehran na kuongeza kuwa watu wengine 16 hawajulikani waliko na wengine 13 wamejeruhiwa.
-
Mvua na mafuriko yaua watu zaidi ya 300 nchini Pakistan
Jul 26, 2022 07:14Watu wasiopungua 310 wamefariki dunia nchini Pakistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zinazoendelea kunyesha nchini humo.
-
Watu wasiopungua 150 waaga dunia kutokana na mafuriko nchini Pakistan
Jul 12, 2022 07:26Watu wasiopungua 150 wamefariki dunia nchini Pakistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zilizonyesha hivi karibuni.
-
Walioaga dunia kwa mafuriko Afrika Kusini waongezeka, wafikia 253
Apr 14, 2022 02:26Idadi ya watu waliofariki dunia katika jimbo la KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini kutokana na mafuriko yaliyosababisha uharibifu mkubwa, imefikia zaidi ya 250.
-
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua watu 58 nchini Ufilipino.
Apr 13, 2022 07:45Watu karibu 60 wameaga dunia kutokana na kimbunga kilichosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Ufilipino.
-
Waliofariki dunia kwa mafuriko nchini Brazil waongezeka hadi 117
Feb 18, 2022 11:40Zaidi ya watu 117 wamefariki dunia baada ya siku kadhaa za mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yaliyoharibu barabara na nyumba nchini Brazil.
-
UN yasema malaki wameathiriwa na mafuriko nchini Sudan Kusini
Sep 01, 2021 08:00Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu (OCHA) imesema watu zaidi ya 380,000 wameathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha nchini Sudan Kusini.