-
China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 01, 2019 03:21Serikali ya China imepuuzilia mbali vikwazo vya mafuta vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Tehran na imeanza kuagiza shehena ya mafuta yake kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Yemen yazionya Saudi Arabia na Imarati na kuahidi kujibu jinai zote wanazofanyiwa wananchi wa Yemen
May 15, 2019 03:07Msemaji wa Majeshi ya Yemen amezionya nchi vamizi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba operesheni za vikosi vya Yemen zitaendelea na hazitoishia nchini Saudia na mjini Riyadh tu.
-
Tahadhari ya Katibu Mkuu wa OPEC kuhusu taathira hasi za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta
May 03, 2019 23:08Hatua ya serikali ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA imekabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanunuzi wa mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la kimataifa na pia kutoka kwa wakuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC).
-
OPEC: Ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia
May 02, 2019 09:10Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC) amesema ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la kimataifa na kwamba shirika hilo linafanya juu chini kuhakikisha kuwa siasa haziingizwi katika biashara ya mafuta.
-
Kusimamishwa uuzaji wa mafuta ya Iran, ni ukweli au ndoto?
May 02, 2019 07:30Waziri wa Mafuta wa Iran amesema, hata kama kukatwa kabisa na kufikishwa katika kiwango cha sufuri uuzaji nje wa mafuta ya Iran ni matarjio ya Marekani na nchi mbili jirani na Iran, lakini jambo hilo halitekelezeki kivitendo.
-
Rouhani: Wamarekani hawawezi kuzuia uuzaji mafuta ya Iran
May 01, 2019 08:22Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani ya kutaka kuzuia mafuta ghafi ya petroli ya Iran yauzwe katika soko la kimataifa na kusema: "Marekani haiwezi kuizuia Iran kuuza mafuta na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itauza mafuta yake."
-
Baqeri: Marekani lazima iombe idhini kwa jeshi la Iran la SEPAH kuweza kupita Hormuz
Apr 28, 2019 23:40Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema kuwa meli za Marekani haziwezi kupita katika Lango Bahari la Hormuz bila ya kuomba idhini kwanza kutoka kwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Waziri wa Mafuta wa Nigeria: Mauzo ya mafuta ya Iran hayawezi kufikia kiwango cha sifuri
Apr 26, 2019 03:42Waziri wa Mafuta wa Nigeria ametoa radiamali kufuatia uamuzi wa Marekani wa kufuta kibali cha ununuzi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, ni jambo lisilowezekana kufikisha mauzo ya mafuta ya Iran kwenye kiwango cha sifuri.
-
IRGC: Ikibidi, Iran itafunga lango bahari la Hormuz
Apr 23, 2019 09:40Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema lango bahari la Hormuz ni njia ya kimataifa ya majini na kwamba Iran haitakuwa na chaguo jingine ghairi ya kulifunga lango hilo la kistratajia iwapo itazuiwa kulitumia.
-
Sisitizo la Rais Maduro kuwa Marekani inahusika na ugaidi na uharibifu nchini Venezuela
Mar 25, 2019 22:35Rais Donald Trump wa Marekani katika chote cha utawala wake amekuwa akifuatilia sera za kuiangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro nchini Venezuela kutokana na kuwa rais huyo anafuata sera za mrengo wa kushoto za kupinga ubeberu na ubepari wa Marekani na Wamagharibi.