-
Machi 20, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran
Mar 20, 2019 15:08Tarehe 29 mwezi Esfand kwa kalenda ya Hijria Shamsia sawa na Machi 20 huadhimishwa kila mwaka kama siku kukumbuka kutaifishwa sekta ya mafuta ya petroli nchini Iran. Siku hii ni muhimu sana katika historia ya kisiasa na kiuchumi ya Iran. Utaifishwaji wa sekta ya mafuta Iran ulifanikiwa baada ya mapambano magumu sana na ukawa mwanzo wa fikra ya "Uchumi bila Mafuta'. Karibuni kusikiliza makala maalumu kwa munasaba huu.
-
Maandamano Zimbabwe baada ya ongezeko la bei ya mafuta kwa 150%
Jan 14, 2019 12:00Wananchi wa Zimbabwe hii leo wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Harare, kulalamikia ongezeko la bei ya fueli kwa asilimia 150 lililotangazwa jana na Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo.
-
Zanganeh: Kikao cha karibuni cha Opec; pigo jingine kwa Marekani
Dec 13, 2018 04:01Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekitaja kikao kilichofanyika hivi karibuni cha Jumuya ya Nchi Zinazozalisha Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC) huko Vienna mji mkuu wa Austria kuwa ni pigo jingine kwa Marekani.
-
Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani
Dec 11, 2018 12:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uuzaji mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la dunia unaendelea hata baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vilianza Novemba Nne.
-
Shirika la mafuta na gesi la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa + Sauti
Dec 03, 2018 23:35Shirika la kwanza la mafuta na gesi la Kigumba, magharibi mwa la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa. Mwandishi wetu Kigozi Ismail na maelezo zaidi
-
Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi
Nov 02, 2018 03:58Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake
Oct 23, 2018 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inao uwezo wa kuuza mafuta yake na pia kulinda vyema uchumi wake.
-
Washington yalazimika kuzingatia msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran
Oct 22, 2018 04:45Waziri wa Fedha wa Marekani amelegeza msimamo wa nchi hiyo katika kuyawekea kikamilifu vikwazo mafuta ya Iran na kutangaza kuwa Washington inafikiria suala la msamaha kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran.
-
Waziri wa Mafuta wa Iran: Marekani lazima iondoe vikwazo ili bei ya mafuta ishuke
Oct 17, 2018 00:48Bijan Namdar Zangeneh, Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itaiondolea vikwazo Iran, bei ya mafuta katika soko la dunia itapungua na hali ya kuvurugika uthabiti iliyopo katika soko hilo hivi sasa itaondoka.
-
Waziri wa Nishati wa Russia ajibu madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia
Oct 10, 2018 22:58Waziri wa Nishati wa Russia amepinga madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu mafuta.