-
Waziri wa Nishati wa Russia ajibu madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia
Oct 10, 2018 22:58Waziri wa Nishati wa Russia amepinga madai ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu mafuta.
-
India: Hatutoacha kununua mafuta ya Iran licha ya Marekani kututaka tuache
Aug 30, 2018 11:24Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini India amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo itaendelea kununua mafuta ya Iran.
-
Lango bahari la Hormuz likifungwa bei ya pipa moja la mafuta itafika dola 400
Jul 29, 2018 03:31Mtaalamu wa masuala ya mafuta wa Iraq ametabiri kuwa endapo lango bahari la Hormuz litafungwa kutokana na mivutano iliyojitokeza katika eneo la Mashariki ya Kati, bei ya pipa moja la mafuta itafika dola 400.
-
Iran: Njama za Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji nje mafuta ni ndoto
Jul 17, 2018 11:16Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Es'haq Jahangiri amesema kuwa njama za Marekani za kutaka kutuzuia uuzaji nje mafuta ya Iran ni ndoto potofu.
-
Kuzuia usafirishaji mafuta ya Iran; kutoka matamshi mpaka utekelezaji kivitendo
Jul 10, 2018 08:00Mjadala wa kuyawekea vikwazo mafuta ya Iran na kuzuia kabisa usafirishwaji na uuzaji nje wa bidhaa hiyo ya Iran umezingatiwa na vituo vya utafiti ambavyo vimetahadharisha kwamba, hatua hiyo itapelekea kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo na kufikia hadi dola 150 kwa pipa.
-
India: Tunanunua mafuta ya Iran kwa maslahi yetu ya kitaifa sio ya Marekani
Jul 09, 2018 09:08Waziri wa Mafuta wa India sambamba na kuelezea umuhimu wa kuendelea kununua mafuta ya Iran licha ya tishio la vikwazo vya Marekani, amesema kuwa ununuzi wa mafuta hayo unatokana na maslahi ya kitaifa ya India na sio ya Marekani.
-
Machafuko ya karibunii Libya yaathiri vibaya uchumi wa nchi
Jul 02, 2018 22:37Shirika la Taifa la Mafuta la Libya limetangaza kuwa mapigano ya hivi karibuni katika eneo la Hilali ya Mafuta nchini humo yamesababisha hasara ya mamilioni ya dola kwa uchumi wa nchi hiyo.
-
Wanamgambo washambulia taasisi za mafuta mashariki mwa Libya
Jun 14, 2018 10:26Afisa mmoja wa jeshi la Libya amesema, wanamgambo wenye silaha wameshambulia taasisi za mafuta zilizoko chini ya Jenerali Khalifa Haftar mashariki mwa nchi hiyo na kuchoma moto kwa uchache tangi moja la mafuta.
-
Kenya yaweka historia, Rais Kenyatta azindua uuzaji mafuta nje + Sauti
Jun 03, 2018 14:11Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua rasmi usafirishaji wa mafuta ghafi ya petroli yaliyochimbwa nchini humo na kwa utaratibu huo nchi hiyo imeanza mkakati wa kuuza bidhaa hiyo katika soko la kimataifa.
-
Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi nchini Iran
May 04, 2018 23:33Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Mafuta, Gesi, Usafishaji na Petrokemikali yanatazamiwa kuanza kesho Jumapili hapa mjini Tehran.