-
Albanese: Magharibi haiwi na uwezo wowote wa kutekeleza sheria za kimataifa inapohusu Israel
Aug 03, 2025 05:41Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa hali ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema, nchi za Magharibi haziwi na uwezo wowote wa kutekeleza sheria za kimataifa inapohusu utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani
Aug 02, 2025 14:04Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar iliripoti mnamo Julai 31, 2025 kwamba Uingereza na nchi zingine 13 ziliituhumu Iran kuwa inapanga kufanya mauaji na utekaji nyara katika nchi za Magharibi, madai ambayo yamekanushwa vikali na Tehran.
-
Malengo halisi ya Magharibi kuhusu Iran ni yapi?
Jul 30, 2025 11:59Vyombo vya habari vya kigeni, sambamba na kuripoti kauli ya hivi karibuni ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, vimezingatia kwa namna ya kipekee sehemu ya hotuba yake ambapo amesisitiza kuwa: “Mpango wa nyuklia, urutubishaji na haki za binadamu ni visingizio – wanachotaka wao ni dini na elimu yenu.”
-
Korea Kaskazini: Lazima US ikubali sisi ni dola la nyuklia, kutupokonya silaha ni 'dhihaka'
Jul 29, 2025 06:59Kim Yo Jong, dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameitaka Marekani ikubali hali "isiyoweza kutenduliwa" ya nchi hiyo kuwa taifa linalomiliki silaha za nyuklia, na kuonya kwamba mazungumzo hayataweza kamwe kupelekea kufutwa uwezo wake wa nyuklia.
-
Putin: Migongano kati ya Russia na Magharibi haihusiani na idiolojia
Jul 13, 2025 16:28Rais Vladimir Putin wa Russia amesema malengo ya kiukiritimba ya mataifa ya Magharibi na kutupilia mbali kwao wasiwasi wa kiusalama wa nchi yake ndivyo vilivyosababisha mzozo unaoendelea hivi sasa kati ya Moscow na Magharibi.
-
Kagame azihutubu nchi zinazoiwekea Rwanda vikwazo: Nendeni kuzimu
Apr 08, 2025 06:55Rais Paul Kagame wa Rwanda amezikosoa vikali nchi ambazo hivi karibuni zilitangaza kuiwekea Kigali vikwazo kutokana na mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel
Apr 03, 2025 07:07Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; hususan katika sikukuu za Idul-Fitri, na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki zinazofanywa na utawala huo ghasibu.
-
Rais Putin: Watu wa Magharibi hawaielewi Russia
Mar 28, 2025 02:27Rais Vladimir Putin amesema baadhi ya watu katika nchi za Magharibi hawaielewi Russia, lakini amesisitiza kuwa ukweli huo hauwezi kutatiza hata kidogo ustawi na maendeleo ya nchi hiyo.
-
Balozi wa Iran akosoa kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Mar 27, 2025 04:09Ali Bahraini, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva, amekosoa kuenea kwa chuki dhidi ya Uislamu au kwa maneno mengine Islamophobia katika nchi za Magharibi
-
Serbia: Tunakabiliwa na 'mapinduzi ya rangi' ya Magharibi
Mar 23, 2025 10:49Naibu Waziri Mkuu wa Serbia, Aleksandar Vulin amesema nchi hiyo ya eneo la Balkan inawajihiwa na tishio la "mapinduzi ya rangi" kutoka nchi za Magharibi.