-
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Jan 28, 2025 08:03Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.
-
Naibu Rais wa Afrika Kusini: Afrika ijistawishe bila kutegemea Magharibi
Jan 21, 2025 12:52Naibu wa Rais wa Afrika Kusini, Paul Mashatile amesema kuwa, bara la Afrika linapaswa kuhitimisha utegemezi wake kwa madola ya Magharibi.
-
Lavrov akosoa jitihada za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya Russia
Nov 11, 2024 12:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa vikali njama za nchi za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya nchi hiyo.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN na makabiliano ya mitazamo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi
Oct 03, 2024 11:16Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili matukio ya Asia Magharibi kufuatia shambulio la makombora lililofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kujibu jinai za Israel kimeambatana na matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na mwakilishi wa utawala huo wa Kizayuni ukiungwa mkono na nchi za Magharibi.
-
Mali: Silaha za Magharibi zinaimarisha ugaidi barani Afrika
Sep 01, 2024 07:21Mwakilishi wa Kudumu wa Mali katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, sehemu kubwa ya silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi kwa Ukraine zinahamishiwa katika eneo la Sahel barani Afrika na kushadidisha harakati za ugaidi barani humo.
-
Kan'ani: Marekani inaunga mkono ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 22, 2024 02:20Nasser Kan'ani Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa leo hii ukweli mchungu na wa kusikitisha unashuhudiwa mbele ya walimwengu wa matabaka yote kuanzia raia wanaoteseka na kudhulumiwa katika eneo la Magharibi mwa Asia, kaskazini mwa Afrika hadi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu barani Ulaya na Marekani kwamba serikali ya Marekani inaunga mkono waziwazi ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ujangili wa Magharibi umepunguza mno idadi ya simba barani Afrika
Aug 10, 2024 11:14Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Simba Duniani leo Agosti 10, imebainika kuwa idadi ya mnyamapori huyo inapungua kwa kiwango cha kutisha barani Afrika kutokana na ujangili unaofanywa na nchi za Magharibi.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 21, 2024 02:30Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
Erdogan: Nchi za Magharibi zimekuwa mateka wa mtu kichaa kama Netanyahu
Jun 27, 2024 02:58Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alisema jana Jumatano kwamba nchi yake inasimama bega kwa bega na Lebanon kutokana na mvutano unaozidi kuongezeka na utawala wa Kizayuni wa Israel, na amezitaka pande za kikanda kumuunga mkono katika msimamo huo.
-
Russia: Magharibi inacheza na moto
May 18, 2024 12:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametangaza kwamba nchi za Magharibi zinataka kuzidisha mvutano na zinacheza na moto kwa kuipatia silaha na kuihimiza Ukraine kushambulia ardhi ya Russia.