-
Putin: Wamagharibi walitaka kuona Warusi wakiuana wenyewe kwa wenyewe
Jun 27, 2023 06:56Rais Vladimir Putin wa Russia amesema aliagiza vikosi vya nchi hiyo vijiepushe na umwagaji damu wakati wa uasi wa kundi la Wagner mwishoni mwa wiki iliyopita, akisisitiza kuwa Ukraine na Wamagharibi walitaka kuona wananchi wa Russia wakiuana wenyewe kwa wenyewe.
-
"Mzozo wa Sahara Magharibi haujafumbuliwa kutokana na unafiki wa Magharibi"
Jun 03, 2023 01:33Mwanaharakati mmoja wa kisiasa amesema kadhia ya Sahara Magharibi haijapatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu sasa kutokana na unafiki wa nchi za Magharibi.
-
Unyanyasaji wa kinyama wa wafungwa wa Iran katika magereza ya Ulaya; ishara ya undumakuwili katika haki za binadamu
May 30, 2023 01:36Hatimaye, baada ya takriban miaka 5, Asadollah Asadi, mwanadiplomasia wa Iran aliyekuwa amezuiliwa nchini Ubelgiji, aliwasili Tehran siku ya Ijumaa. Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman ilitangaza Ijumaa kwamba Oman ilifanikiwa kupatanisha Ubelgiji na Iran ili kutatua suala la raia waliofungwa katika nchi hizi mbili na kwamba watu wawili waliachiliwa huru na Tehran na Brussels.
-
Putin:Sera za Magharibi zimesababisha ukosefu wa amani duniani
May 24, 2023 10:50Rais wa Russia ameeleza kuwa katika hali ambayo Wamagharibi wanalenga kuzidisha hali ya wasiwasi na ukosefu wa usalama duniani; nchi huru kuanzia Asia hadi Afrika zinapaswa kusaidia katika usanifu usiogawanyika wa usalama duniani.
-
Ushahidi mpya wa madai ya uwongo ya Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza
May 01, 2023 10:09Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" wakisaidiwa na askari polisi wa Ujerumani. Maafisa wa Ujerumani wanadai kuwa wazazi wa mtoto huyo wamekuwa wakimfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
-
Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu
Mar 29, 2023 10:20Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Tangazo la Putin la kupelekwa silaha za nyuklia za Russia nchini Belarus
Mar 27, 2023 02:10Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kwamba katika kukabiliana na kushadidi kwa shughuli za kijeshi za nchi za Magharibi na ongezeko la msaada wao kwa jeshi la Ukraine, Moscow sasa itapeleka baadhi ya silaha zake za nyuklia za kimbinu huko Belarus.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine
Mar 22, 2023 07:37Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.
-
Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu
Mar 16, 2023 11:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano alituma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba: Wale wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu hawaamini maadili yoyote ya kibinadamu na dini za Mwenyezi Mungu.
-
Kurejeshwa uhusiano wa kisiasa wa Tunisia na Syria; pigo jingine kwa wenzo wa Magharibi wa kuitenga kisiasa Damascus
Mar 13, 2023 02:28Rais Kais Saied wa Tunisia ametangaza kuwa, serikali yake imechukua uamuzi wa kurejesha kikamilifu uuhusiano wake na taifa la Syria.