-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine
Mar 22, 2023 04:07Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.
-
Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu
Mar 16, 2023 08:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano alituma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba: Wale wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu hawaamini maadili yoyote ya kibinadamu na dini za Mwenyezi Mungu.
-
Kurejeshwa uhusiano wa kisiasa wa Tunisia na Syria; pigo jingine kwa wenzo wa Magharibi wa kuitenga kisiasa Damascus
Mar 12, 2023 22:58Rais Kais Saied wa Tunisia ametangaza kuwa, serikali yake imechukua uamuzi wa kurejesha kikamilifu uuhusiano wake na taifa la Syria.
-
Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran
Mar 08, 2023 04:43Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.
-
Spika wa Uganda: Hatuhitaji fedha za wanaotaka 'kunajisi' utamaduni wetu
Mar 01, 2023 03:12Spika wa Bunge la Uganda amekosoa tabia ya madola ya Magharibi ya kutoheshimu tamaduni za watu wengine na badala yake kung'ang'ania misimamo yao kama uozo wa ushoga na ubaradhuli.
-
Nebenzya: Nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza Russia
Feb 19, 2023 08:20Vasily Alekseyevich Nebenzya, Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza nchi yake, hivyo Moscow haina chaguo jingine isipokuwa kujihami kwa ajili ya kulinda utambulisho na mustakbali wake.
-
Wakuu wa Anglikana Afrika watishia kujitenga na UK kwa kubariki ushoga
Feb 18, 2023 06:17Viongozi wa Kanisa la Kianglikana barani Afrika wametishia kujitenga na Kanisa la Uingereza kwa kubariki na kuruhusu ndoa na mahusiano ya watu wenye jinsia moja.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa mienendo ya Wamagharibi kuhusu tetemeko la ardhi nchini Syria
Feb 17, 2023 10:02Imam wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa mienendo ya nchi za Magharibi kuhusiana na tetemeko la ardhi nchini Syria.
-
Papa alaani ukoloni wa kiuchumi barani Afrika
Feb 02, 2023 05:45Jumanne wiki hii, katika siku ya kwanza ya safari yake Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, amelaani vikali "ukoloni wa kiuchumi" unaotekelezwa barani Afrika na hasa katika nchi hiyo.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dhulma za mfumo wa ubepari wa Magharibi kwa wanawake
Jan 05, 2023 02:01Ubepari wa Magharibi na demokrasia ya kiliberali, ambayo baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mnamo 1991, kulingana na wanafikra wengine wa Magharibi kama vile Francis Fukuyama, iliushinda mfumo wa kikomunisti kama mfumo bora wa kisiasa na kiuchumi, na kutambuliwa kama mwisho wa historia, sasa unakabiliwa na matatizo makubwa na ya kimsingi.