-
Kabuga afikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa, asema hana hatia
Nov 12, 2020 00:51Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Felicien Kabuga jana Jumatano alifikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania ambapo alisisitiza kuwa hana hatia katika mashitaka ya jinai yanayomkabili.
-
Ushindi mwingine wa Maduro baada ya Mahakama ya Rufaa ya Uingereza kutoa hukumu kwa maslahi ya Venezuela
Oct 07, 2020 04:20Tangu kuanza mgogoro wa uchaguzi nchini Venezuela, Umoja wa Ulaya na nchi kubwa za Ulaya zimechukua msimamo sawa na wa Marekani dhidi ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela. Baada ya kinara wa wapianzani, Juan Guaido kushindwa katika uchaguzi na kisha kujitangaza rais mnamo Januari 23, 2029, nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza, zimekuwa zikimuunga mkono kiongozi huyo wa upinzani.
-
EACJ yatupilia mbali faili la ukomo wa urais nchini Uganda
Sep 30, 2020 10:11Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali faili lililowasilishwa kwake la kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, wa kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mashirika yakosoa hukumu 'nyepesi' dhidi ya askari walioua raia Cameroon
Sep 22, 2020 22:04Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya mahakama moja nchini Cameroon kuwapa adhabu laini wanajeshi waliopatikana na hatia ya kuua raia akiwemo mtoto mdogo.
-
Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais
Sep 14, 2020 23:05Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
Mahakama ya Marekani yataka kusailiwa maafisa wanne wa Saudi Arabia kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11
Sep 11, 2020 09:52Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 Marekani ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na ikachukua hatua ya kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.
-
Uamuzi wa Mahakama ya Mauaji ya Hariri; kushindwa kukubwa kwa wapinzani wa Hizbullah
Aug 19, 2020 02:14Mahakama maalumu ya kimataifa iliyobuniwa kwa ajili ya kuchunguza na kutoa uamuzi kuhusu mauaji ya Rafik Hariri, Waziri Mkuu wa zamani wa Lebanon imetoa hukumu yake kuhusiana na suala hilo baada ya kupita miaka 11 ambapo imeziondolea lawama Syria na Hizbullah ya Lebanon kuhusu mauaji hayo.
-
Ureno yazuilia mali za binti wa rais wa zamani wa Angola
Apr 05, 2020 03:30Mahakama moja mjini Lisbon nchini Ureno imezuilia hisa za mfanyabiashara bilionea na binti wa rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, anaeandamwa na tuhuma za ufisadi.
-
Waziri Mkuu wa Lesotho anayehusishwa na mauaji ya mkewe akosa kufika kotini
Feb 21, 2020 23:17Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane alikosa kufika mahakamani jana Ijumaa kwa ajili ya kesi ya mauaji inayomuandama, kutokana na kile kilichotajwa na familia yake kama sababu za kiafya. Polisi ya nchi hiyo siku ya Alkhamisi ilisema kiongozi huyo angeshtakiwa rasmi jana Ijumaa kwa mauaji ya mke wake wa zamani.
-
Mahakama ya Afrika Kusini yatoa waranti ya kukamatwa Jacob Zuma
Feb 04, 2020 21:43Mahakama nchini Afrika Kusini imetoa waranti ya kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma anayeandamwa na kesi ya ufisadi katika mauzo ya silaha zilizokuwa na thamani ya dola bilioni mbili.