-
UN na jumuiya za kimataifa zapinga hukumu ya kimaonyesho ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Dec 25, 2019 03:37Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia una historia ndefe ya ukiukaji wa haki za binadamu na kukandamiza wapinzani wake ndani naa nje ya nchi hiyo. Miongoni mwa vielelezo vya wazi vya ukatili na ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu wa Saudia ni mauaji ya kutisha yaliyofanywa na maajenti wa utawala huo dhidi ya mwandishi na mpiznni wa serikali ya Riyadh, Jamal Khashoggi.
-
Myanmar yawapandisha kizimbani makumi ya watoto Warohingya
Dec 20, 2019 23:13Watoto 23 ni miongoni mwa Waislamu wa Rohingya 93 waliofikishwa mahakamani jana Ijumaa nchini Myanmar, wakikabiliwa na mashitaka ya 'kusafiri bila vibali.'
-
Watu zaidi ya 300 kutoa ushahidi mahakamani dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel
Dec 03, 2019 23:31Watu 333 watatoa ushahidi dhidi ya Benjamin Netanyahu Kwa mujibu wa mashtaka yaliyowasilishwa kwa bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) kuhusu mafaili ya ufisadi yanayomkabili Waziri Mkuu huyo wa utawala wa Kizayuni.
-
Mahakama ya India yabariki Wahindu wajenge hekalu lao eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri
Nov 09, 2019 12:09Katika hukumu ya uonevu na upendeleo wa wazi iliyotolewa kwa manufaa ya Wahindu wenye misimamo ya chuki na kufurutu mpaka, Mahakama ya Juu Kabisa ya India imeamua kuwapatia Wahindu eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri ili wajenge hekalu lao la Ram.
-
Bangladesh yashikilia hukumu ya kifo dhidi ya Azharul Islam
Oct 31, 2019 21:44Mahakama ya Juu ya Bangladesh imeidhinisha hukumu ya kifo iliyotolewa mwaka 2014 dhidi ya kinara wa chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami, A T M Azharul Islam, kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita.
-
Mahakama yamuachia huru kinara wa upinzani Cameroon kufuatia agizo la rais
Oct 05, 2019 23:19Mahakama ya Kijeshi ya Cameroon imemuachia huru kiongozi wa upinzani nchini humo Maurice Kamto, kufuatia agizo lililotolewa na Rais Paul Biya.
-
Al Bashir akiri kupokea dola milioni 25 kutoka kwa mritihi wa ufalme wa Saudia
Aug 31, 2019 10:32Rais wa zamani wa Sudan, Omar al Bashir amekiri mahakamani kuwa alipokea mamilioni ya dola kinyume cha sheria kutoka kwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman.
-
Walibya wamfungulia Khalifa Haftar mashitaka ya jinai za kivita
Jun 28, 2019 10:58Raia wa Libya wanaoishi Marekani wamemfungulia mashitaka ya jinai za kivita kamanda muasi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, Jenerali Khalifa Haftar wakisisitiza kuwa wapiganaji wa kamanda huyo wameua jamaa zao katika mashambulizi ya hivi karibuni ya mabomu katika mji mkuu Tripoli.
-
Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa
Jun 13, 2019 21:56Dada yake Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Julai katika mahakama ya jinai nchini Ufaransa, akiandamwa na shitaka la kumuagiza mlinzi wake kumpiga mfanyakazi wa kiume mjini Paris.
-
Upinzani Malawi kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani
May 31, 2019 23:23Kinara wa chama kikuu cha upinzani cha Malawi Congress (MCP) amesema atawasilisha faili mahakamani kupinga 'wizi wa kura' katika uchaguzi wa rais uliofanyika nchini humo hivi karibuni.