-
Madai ya Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran; hayana uhalali wowote wa kisheria
Sep 29, 2020 12:19Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imeyataja madai yasiyo na msingi ya nchi za Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran kuwa hayana uhalali wowote wa kisheria.
-
Wananchi wa Iran washiriki duru ya pili ya uchaguzi wa Bunge
Sep 11, 2020 07:08Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki duru ya pili ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Kiongozi Muadhamu: Pamoja na kuwepo vikwazo, maadui hawajaweza kufikia malengo yao dhidi ya Iran
Jul 12, 2020 12:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema adui amepoteza matumaini kutokana na namna taifa la Iran linavyokabiliana na kila harakati dhidi ya mfumo wa Kiislamu.
-
Ghalibaf: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ndicho kigezo bora kabisa cha kukabiliana na mfumo wa kibepari duniani
May 31, 2020 08:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ndicho kigezo bora kabisa cha kukabiliana na mfumo wa kibepari duniani.
-
Mohammad Bagher Ghalibaf achaguliwa kuwa Spika mpya Bunge la Iran
May 28, 2020 07:22Mohammad Bagher Ghalibaf ndiye spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Zoezi la kumchagua spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu limefanyika leo asubuhi.
-
Jumatano, tarehe 27 Mei, 2020
May 27, 2020 03:58Leo ni Jumatano tarehe 4 Shawwal 1441 Hijiria sawa na tarehe 27 Mei 2020 Miladia.
-
Waziri wa Afya: Iran imeshafikia hatua ya kuuweza ugonjwa wa corona
Apr 07, 2020 14:58Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu imefikia hatua ya kuuweza ugonjwa wa corona na akaongeza kwamba, katika siku zijazo baadhi ya mikoa nchini itakuwa imeshafikia kwenye awamu ya kuudhibiti ugonjwa huo.
-
Iran yatuma ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mabunge ya Dunia, yataka kufutwa vikwazo vya dawa vya Marekani
Mar 18, 2020 08:19Katibu Mkuu wa kundi la mabunge la Jumuiya ya Mabunge ya Dunia (IPU) amemtaka Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo kuchukua hatua za kuondoa haraka vikwazo vya dawa, zana na vifaa vya tiba vinavyohitajiwa na wananchi wa Iran kwa ajili ya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Rahmani Fadhli: Asilimia 42.57 ya wananchi wa Iran wameshiriki uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu
Feb 23, 2020 14:20Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa ushiriki wa wananchi katika uchaguzi wa duru ya 11 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge ulikuwa wa asilimia 42.57.
-
Leo Ijumaa, wananchi wa Iran wanashiriki katika uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu
Feb 21, 2020 03:05Uchaguzi wa Bunge la 11 la Iran linalojulikana kwa jina la Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu na uchaguzi wa kwanza mdogo wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, unafanyika leo Ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi katika kona zote za Iran.