-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Sep 26, 2024 12:01Kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kimetangazwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Wiki ya Umoja na Mshikamano baina ya Waislamu wote duniani, lengo likiwa ni kuwakusanya pamoja Waislamu wote wa madhehebu na mitazamo tofauti katika Tauhidi na umoja wa Kiislamu.
-
Mvua kali na mafuriko katika majimbo ya Makka na Jeddah Saudia
Dec 24, 2022 06:26Mafuriko makubwa yaliukumba mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.
-
Bin Salman anaigeuza ardhi ya maeneo matakatifu ya Makka na Madina uwanja wa ufasiki wa kimaadili
Dec 02, 2022 07:54Mwandishi wa habari na mpinzani wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia amekosoa kufanyika tamasha la muziki liitwalo MDLBEAST katika ardhi ya maeneo mawili matakatifu (Haramaini-Sharifaini) ya Makka na Madina na kueleza kwamba: Bin Salman anatoa huduma kubwa zaidi kwa maadui wa Uislamu kwa kuigeuza nchi hiyo kuwa uwanja wa kufanyia ufisadi wa kimaadili.
-
Jumatano tarehe Pili Novemba 2022
Nov 02, 2022 02:22Leo ni Jumatano tarehe 7 Rabiuthabi 1444 inayosadifiana na tarehe Pili Novemba 2022.
-
Ansarullah yalaani vikali mwandishi wa habari mzayuni kukanyaga ardhi tukufu ya Makka
Jul 24, 2022 02:23Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vikali hatua ya Saudi Arabia ya kutoa kibali kwa mwandishi wa habari mzayuni wa Israel kufika kwenye ardhi tukufu ya Makka.
-
Mahujaji waendelea na ibada ya Hija, waanza amali ya kumpiga mawe shetani, Mina
Jul 09, 2022 11:03Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, kuanzia asubuhi ya leo Jumamosi wameanza amali ya kumpiga mawe Shetani huko Mina, karibu na mji mtakatifu wa Makka, katika siku ya kwanza ya Idul Adha, wakiwa mbioni kuhitimisha vipengee vikuu vya ibada ya Hija ya mwaka huu.
-
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah wasimama Arafa
Jul 08, 2022 10:31Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wanasimama katika uwanja wa Arafa hii leo Ijumaa, kisimamo hicho kikiashiria kilele cha ibada tukufu ya Hijja.
-
Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija
Jul 03, 2022 09:24Mkuu wa oparesheni ya kuwabeba Wairani wanaoenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu amesema oparesheni hiyo inakamilika usiku wa leo.
-
Kundi la kwanza la mahujaji wa Kiirani laondoka nchini kwenda Saudia
Jun 12, 2022 07:57Kundi la kwanza la wananchi wa Iran wanaokwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija limeondoka nchini mapema leo Jumapili kwenda katika mji mtukufu wa Madina nchini Saudi Arabia.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (43)
Apr 28, 2022 06:13Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu