-
Maulama wa Yemen wakadhibisha madai ya Saudia, miji mitakatifu haishambuliwi
Nov 04, 2016 08:16Maulama wa Kiislamu nchini Yemen wamekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia uliosema jeshi na wapiganaji wa Yemen wameshambulia mji mtakatifu wa Makka.
-
Yemen: Madai ya uongo ya Saudia ya kushambuliwa Makka ni ishara ya kushindwa muungano vamizi
Oct 31, 2016 07:34Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema madai ya Saudi Arabia kwamba Sana'a imeushambulia kwa kombora mji mtakatifu wa Makka ni ishara ya kushindwa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Riyadh pamoja na waitifaki wake.
-
Ijumaa, Oktoba 28, 2016
Oct 28, 2016 04:02Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Nne Muharram 1438 Hijria sawa na 28 Oktoba, 2016 Milaadia
-
Maafa ya Mina (4)
Sep 05, 2016 08:51Ni Mahujaji wa kiume tu ndio wanaoruihusiwa kuingia kwa masaa machache tu katika makaburi matakatifu ya Baqee. Kusimama na kuomba dua pembeni ya makaburi hayo ni marufuku ma marufuku hiyo ni kali zaidi kwa wale wanaotaka kusimama kando ya makaburi yaliyoharibiwa ya Maimamu Watukufu wa Nyumba ya Mtume (saw) na huandamana na vitisho na hofu kutoka kwa Mawahhabi.
-
18 Wajeruhiwa katika msongamano mkubwa Makka
Jul 02, 2016 13:29Waislamu 18 waliokuwa katika Ibada ya Umrah wamejeruhiwa kufuatia msongamano mkubwa katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, miezi sita tu baad aya maelfu kupoteza maisha katika Ibada ya Hija mwaka jana.
-
Wafanyakazi wa Binladin wateketeza mabasi Makka
May 01, 2016 14:15Wafanyakazi wa shirika kubwa la ujenzi la Binladin wameteketeza mabasi kadhaa katika mji mtakatifu wa Makka.