Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

malalamiko

  • Waeritrea waandamana dhidi ya serikali kutokana na ukandamizaji wake kwa Waislamu

    Waeritrea waandamana dhidi ya serikali kutokana na ukandamizaji wake kwa Waislamu

    Nov 01, 2017 16:15

    Habari kutoka Eritrea zinaarifu kwamba raia wa nchi hiyo wamefanya maandamano makubwa kulaani hatua ya serikali ya Asmara katika kuwakandamiza Waislamu.

  • Watu kadhaa wauawa na makumi wajeruhiwa katika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya

    Watu kadhaa wauawa na makumi wajeruhiwa katika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya

    Oct 26, 2017 16:24

    Watu wasiopungua wanne wameuawa katika mkoa wa Nyanza na mji wa Machakos nchini Kenya katika ghasia za uchaguzi wa marudio wa rais uliofanyika leo nchini humo.

  • Mkutano wa Kimataifa wa Mabunge wagubikwa na malalamiko dhidi ya Israel + Video

    Mkutano wa Kimataifa wa Mabunge wagubikwa na malalamiko dhidi ya Israel + Video

    Oct 19, 2017 13:03

    Spika wa Bunge la Kuwait ameutaja ujumbe wa utawala wa Kizayuni katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge huko Russia kuwa ni ghasibu na unaoua watoto na akautaka ujumbe huo utoke kwenye ukumbi unapofanyikia mkutano huo.

  • Chad yamkosoa Trump na amri yake dhidi ya uhajiri kwa kuwajumuisha raia wake

    Chad yamkosoa Trump na amri yake dhidi ya uhajiri kwa kuwajumuisha raia wake

    Sep 27, 2017 05:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Chad imewasilisha kwa balozi wa Marekani malalamiko na ukosoaji wake kuhusu amri dhidi ya uhajiri iliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Gallup: Wamarekani weusi zaidi 220 wameuawa na polisi ya nchi hiyo mwaka uliopita

    Gallup: Wamarekani weusi zaidi 220 wameuawa na polisi ya nchi hiyo mwaka uliopita

    Aug 27, 2017 02:39

    Zaidi ya Wamarekani 220 wenye asili ya Afrika wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi ya nchi hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

  • Malalamiko ya ndani na nje dhidi ya marufuku ya safari kwenda Marekani

    Malalamiko ya ndani na nje dhidi ya marufuku ya safari kwenda Marekani

    Jul 02, 2017 13:29

    Zikiwa zimepita saa chache tangu kuanza kutekelezwa amri ya marufuku ya kufanya safari kwenda Marekani inayowahusu raia wa nchi sita za Waislamu, malalamiko na maandamano ya kupinga ubaguzi huo vinaendelea kushuhudiwa ndani na nje ya nchi hiyo.

  • Malalamiko ya Wayamen kwa kigugumizi cha Umoja wa Mataifa

    Malalamiko ya Wayamen kwa kigugumizi cha Umoja wa Mataifa

    May 23, 2017 11:22

    Wakazi wa mji mkuu wa Yemen Sana'a wamefanya maandamano sambamba na safari ya Ismail Ould Sheikh Ahmad, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen mjini humo na kutaka kuhitimishwa mzingiro wa pande zote dhidi ya nchi hiyo.

  • Malalamiko kuhusu marekebisho ya katiba nchini Mauritania

    Malalamiko kuhusu marekebisho ya katiba nchini Mauritania

    Mar 13, 2017 12:12

    Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Mauritania wamefanya maandamano wakipinga marekebisho ya katiba ya nchi hiyo.

  • Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya

    Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya

    Dec 23, 2016 16:44

    Huku vuta nikuvute baina ya serikali na mrengo wa upinzani nchini Kenya kuhusiana na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ukiwa unaendelea, kinara wa muungano wa upinzani wa CORD Raila Odinga ametahadharisha tena juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini humo.

  • Kutangazwa muda wa kujiuzulu Rais Omar al Bashir wa Sudan

    Kutangazwa muda wa kujiuzulu Rais Omar al Bashir wa Sudan

    Aug 22, 2016 08:02

    Rais Omar al Bashir wa Sudan ametangaza kuwa, ana nia ya kuachia madaraka ifikapo mwaka 2020. Amesema atalazimika kuachana na siasa kwani katiba ya Sudan haitomruhusu kubakia madarakani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS