-
Jumanne tarehe 31 Agosti 2021
Aug 30, 2021 21:52Leo ni Jumanne tarehe 22 Muharram 1443 Hiijria sawa na Agosti 31 mwaka 2021.
-
Jumatatu tarehe 31 Agosti mwaka 2020
Aug 30, 2020 22:44Leo ni Jumatatu tarehe 11 Mfunguo Nne Muharram mwaka 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Agosti mwaka 2020.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia apatikana na hatia ya ufisadi na kutumia vibaya madaraka
Jul 28, 2020 06:02Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amepatikana na hatia katika tuhuma zinazomkabili ikiwa ni pamoja na kuhusika na ufisadi, kutumia vibaya madaraka na kutakatisha fedha chafu.
-
Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake
Jul 17, 2020 22:02Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.
-
Juamatano tarehe 10 Juni mwaka 2020
Jun 11, 2020 00:00Leo ni Jumatano tarehe 18 Shawwal 1441 Hijria sawa na tarehe 10 Juni mwaka 2020.
-
Mahathir bin Mohamad: Marekani inauza duniani ndege zake za kivita zenye ubovu
May 18, 2020 21:56Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amefichua kwamba serikali ya Marekani iliiuzia nchi hiyo ndege za kivita za F16 huku zikiwa hazina namba maalumu wala vifaa muhimu na kwamba Washington huwa inatekeleza siasa hizo kwa nchi zote za dunia isipokuwa utawala haramu wa Kizayuni.
-
Mfalme wa Malaysia amteua Muhyiddin Yassin kuwa Waziri Mkuu mpya
Feb 29, 2020 10:10Mfalme wa Malaysia amemteua Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa nchi hiyo, Muhyiddin Yassin kuwa Waziri Mkuu mpya, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mahathir Muhammad, ambaye alijiuzulu hivi karibuni.
-
Mahathir Muhammad apendekezwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia
Feb 29, 2020 04:43Mahathir Muhammad, Waziri Mkuu wa Malaysia ambaye alijiuzulu hivi karibuni na kukabidhi barua yake kwa mfalme wa nchi hiyo, amesema atawasilisha jina lake kwa ajili ya kushika tena wadhifa huo.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia ajiuzulu, hitilafu zazusha mgawanyiko ndani ya serikali
Feb 24, 2020 04:17Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohamad amejiuzulu wadhifa huo. Hatua hiyo ya Mahathir Mohamad inatayarisha uwanja wa kuundwa serikali mpya nchini Malaysia.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Huwenda Marekani ikatuma droni na kunitungua
Jan 07, 2020 23:19Mahathir Mohamad Waziri Mkuu wa Malaysia ameikosoa na kuilaani vikali Marekani kwa kumuuwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kwa kutekeleza mauaji wakati wowote.