• Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura

    Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura

    Jul 16, 2024 11:37

    Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).

  • Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Ridha AS

    Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Ridha AS

    Oct 07, 2021 12:11

    Maombolezo ya kukumbuka mwaka alipouawa shahidi Imam Ali bin Musa al Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia duniani yamefanyika katika Husainia ya Imam Khomeini MA hapa mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

  • Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria

    Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria

    Sep 10, 2019 14:37

    Waislamu kadhaa waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) wameuawa leo kwa kupigwa risasi nchini Nigeria.

  • Waislamu wakumbuka kufa shahidi kwa Bibi Fatima al Zahra (as)

    Waislamu wakumbuka kufa shahidi kwa Bibi Fatima al Zahra (as)

    Feb 09, 2019 17:17

    Mamilioni ya Waislamu nchini Iran na nchi nyingine kadhaa duniani leo wameshiriki katika vikao na majlisi za kukumbuka siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume wetu Muhammad (saw), Bibi Fatumatu Zahra (as).

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)

    Sep 30, 2018 13:04

    Kusikia kisa cha machungu na mateso ambayo yaliwapata wanawake na watoto wa Nyumba ya Mtume Mtukufu (saw) baada ya kuuawa shahidi Bwana wa Mashahidi, al-Imam Hussein (as) huumiza moyo wa kila mcha-Mungu na mpigania uhuru na utu wa mwanadamu na huenda kikamfanya ajiulize maswali haya muhimu kwamba je, ni kwa nini Imam Hussein (as) aliamua kuchukua na kuandamana na familia yake katika safari ya Karbala?