-
Kugombea kwa "Joe Biden" katika uchaguzi wa 2024 na changamoto zinazomkabili
Apr 27, 2023 06:22Hatimaye baada ya tetesi za muda mrefu, Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza rasmi kuwa atagombea katika uchaguzi wa rais wa 2024, na iwapo atashinda, atabaki katika Ikulu ya White House kwa miaka mingine minne.
-
Russia Today: Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine
Apr 25, 2023 22:32Chaneli ya televisheni ya Russia Today imeeleza katika ripoti yake ya uchambuzi kuhusu maandamano ya kupinga vita yaliyofanywa na watu kote barani Ulaya kwamba, Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine
-
Kanaani ajibu matamshi ya kijuba ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani dhidi ya Iran
Apr 23, 2023 03:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema matamshi ya uchochezi yaliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Marekani kuhusiana na mpango wa kijeshi wa Iran yanalenga kuendeleza utafutaji soko la silaha za Marekani.
-
Mgombea urais wa Marekani: Robo ya Wamarekani wanalala na njaa
Apr 23, 2023 02:34Robert F. Kennedy Jr anayewania kuwa mgombea rais wa Marekani amesema hali ya kiuchumi na kijamii katika nchi hiyo ni mbaya.
-
Mgombea urais wa chama tawala cha Democratic akiri: Marekani ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh
Apr 22, 2023 22:03Robert F. Kennedy Jr ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao nchini Marekani, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Russia: Udhibiti wa mashindano ya uundaji silaha duniani umetoweka
Apr 22, 2023 08:15Balozi wa Russia mjini Washington amesema, udhibiti wa mashindano ya uundaji silaha duniani umetoweka.
-
Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel
Apr 21, 2023 08:13Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo.
-
Mwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)
Apr 21, 2023 03:52Mwanasiasa wa Marekani ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Taasisi ya Utafiti ya Marekani: Wamarekani ndio tishio kubwa zaidi la usalama kwa nchi yao
Apr 21, 2023 03:51Matokeo ya uchunguzi wa Taasisi ya Utafiti wa Sera ya Marekani kuhusu vitisho muhimu zaidi dhidi ya nchi hiyo yameonyesha kwamba Wamarekani wenyewe wanatambuliwa kuwa tishio kubwa zaidi kwa usalama wa nchi yao.
-
Elon Musk akiri: Serikali ya Marekani inadhibiti maudhui za mtandao wa Twitter
Apr 19, 2023 21:56Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Elon Musk, amekiri katika mahojiano yake na vyombo vya habari kwamba serikali ya Marekani inafika kamilifu" kwenye jumbe binafsi za moja kwa moja za watumiaji wa mtandao huo. Nukta ya kuvutia hapa ni kwamba awali Musk mwenyewe hakujua jambo hilo.