Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais wa Brazil aitaka Marekani iache kuchochea moto wa vita Ukraine

    Rais wa Brazil aitaka Marekani iache kuchochea moto wa vita Ukraine

    Apr 16, 2023 03:24

    Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema akiwa mjini Beijing, China kwamba Marekani inapaswa iepuke hatua za kuchochea moto wa vita nchini Ukraine.

  • Kuendelea utunishaji misuli na ubabe wa China mbele ya Marekani

    Kuendelea utunishaji misuli na ubabe wa China mbele ya Marekani

    Apr 13, 2023 22:43

    Ijapokuwa China ilitangaza hivi majuzi kuwa mazoezi yake ya kijeshi ya pande zote iliyofanya kwa mfananisho wa kukizingira kisiwa cha Taiwan yamemalizika, lakini televisheni ya taifa ya nchi hiyo ilitangaza kuwa, manowari kadhaa za Beijing zitaendelea kutoa mafunzo yanayohitajika kuendana na uhalisia wa hali ya vita katika maji yanayoizunguka Taiwan ili kupima uwezo wake katika ngazi zote na ufanisi wa silaha na zana zake za kivita.

  • Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola

    Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola

    Apr 13, 2023 08:49

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN

    Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN

    Apr 12, 2023 09:10

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa Marekani bado haijampatia Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov viza ya kuingia nchini humo kushiriki katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Kuwa wakimbizi mamilioni ya watu duniani ni matokeo ya vita vya Marekani baada ya Septemba 11

    Kuwa wakimbizi mamilioni ya watu duniani ni matokeo ya vita vya Marekani baada ya Septemba 11

    Apr 10, 2023 08:16

    Vita vilivyoanzishwa na Marekani baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini humo yamepelekea zaidi ya watu milioni 37 duniani kuwa wakimbizi.

  • Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani

    Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani

    Apr 10, 2023 04:22

    Chanzo cha ngazi za juu cha usalama katika mkoa wa al Anbar nchini Iraq kimetangaza kwamba maafisa wa serikali ya nchi hiyo wanapaswa kuwa na wasiwasi wa kujirudia hali ya mwaka 2014 magharibi mwa mkoa huo na kurudi kwa wapiganaji wa kundi la Daesh (ISIS).

  • "Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu", msisitizo wa Kiongozi Muadhamu juu ya jinsi Marekani inavyofaidika na vita vya Ukraine

    Apr 09, 2023 10:51

    Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 15 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Marekani imekithirisha uwekaji wa silaha zake za nyuklia katika bara la Ulaya

    Marekani imekithirisha uwekaji wa silaha zake za nyuklia katika bara la Ulaya

    Apr 08, 2023 22:46

    Shirika la habari la Sputnik limetangaza kuwa Marekani imekithirisha uwekaji silaha zake za nyuklia barani Ulaya.

  • Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan

    Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan

    Apr 08, 2023 22:44

    Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.

  • Poda za Kimarekani za Johnson & Johnson zinasababisha saratani, Tanzania yaanzisha uchunguzi

    Poda za Kimarekani za Johnson & Johnson zinasababisha saratani, Tanzania yaanzisha uchunguzi

    Apr 08, 2023 07:58

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo kwenye soko poda za watoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani, Johnson & Johnson (J&J), ambazo imebainika kuwa zinasababisha saratani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS