Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Syria yataka kuwepo kijeshi Marekani katika ardhi ya nchi hiyo kukomeshwe

    Syria yataka kuwepo kijeshi Marekani katika ardhi ya nchi hiyo kukomeshwe

    Dec 15, 2022 03:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa ambayo sambamba na kulaani vitendo vya vikosi vamizi vya jeshi la Marekani, imetaka kukomeshwa uwepo haramu wa kijeshi wa Washington katika ardhi ya Syria.

  • Wanandoa wa Marekani waswekwa rumande Uganda kwa kumtesa mtoto wa miaka 10

    Wanandoa wa Marekani waswekwa rumande Uganda kwa kumtesa mtoto wa miaka 10

    Dec 13, 2022 04:02

    Mke na mume raia wa Marekani wanaoishi katika mtaa wa Naguru huko Kampala, mji mkuu wa Uganda wametupwa rumande katika gereza la Luzira, wakikabiliwa na mashitaka ya kumtesa na kumdhalilisha mtoto mdogo wa miaka 10.

  • Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria

    Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria

    Dec 13, 2022 03:37

    Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amekosoa hatua ya Marekani ya kuyapa makundi ya kigaidi yaliyopo kaskazini mwa Syria msaada wa fedha na silaha.

  • China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki

    China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki

    Dec 13, 2022 03:29

    Balozi wa China nchini Marekani amepinga madai ya Washington kuwa nchi za Afrika zimenasa kwenye mtego wa Beijing kutokana na madeni.

  • Don DeBar: Marekani ingali inadhibiti matukio ya Libya

    Don DeBar: Marekani ingali inadhibiti matukio ya Libya

    Dec 12, 2022 07:12

    Mwandishi wa habari na mchambuzi mmoja wa masuala ya kisiasa wa Marekani amesema kufufuliwa kwa faili la shambulio la bomu la Lockerbie la mwaka 1986 kunaonesha wazi kuwa Washington ingali inadhibiti na kuingilia masuala ya ndani ya Libya.

  • Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni

    Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni

    Dec 06, 2022 10:16

    Sambamba na himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa wafanya fujo na machafuko nchini Iran, wachambuzi waandamizi wa masuala ya usalama wa Marekani na utawala haramu wa Israel wamekiri kwamba, Iran haijatetereshwa na machafuko hayo ya hivi karibuni.

  • Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon

    Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon

    Dec 05, 2022 22:47

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani daima imekuwa ikifutilia kuzusha vurugu na machafuko nchinii Lebanon.

  • Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Dec 04, 2022 06:09

    Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.

  • Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake

    Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake

    Dec 04, 2022 00:13

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.

  • Indonesia yakataa kumpokea mjumbe maalumu wa kutetea ubaradhuli wa Marekani

    Indonesia yakataa kumpokea mjumbe maalumu wa kutetea ubaradhuli wa Marekani

    Dec 03, 2022 07:14

    Marekani imelazimika kufuta safari ya mjumbe wake maalumu wa kutetea eti haki za mabaradhuli (LGBTQ) nchini Indonesia, baada ya nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia kusema kuwa haitampokea afisa huyo wa Washington.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS