-
Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani
Oct 10, 2022 03:58Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani vikwazo shadidi vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kuwa, "Wamagharibi wanalipiza kisasi dhidi ya Wairani, kwa kuanzisha kampeni ya mauji ya kimbari dhidi ya wagonjwa wa nchi hii."
-
Damascus: Marekani inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake kutoka Syria
Oct 08, 2022 23:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesisitiza kuwa, Washington inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake haramu katika ardhi ya Syria.
-
Sera mpya za Marekani Afghanistan
Oct 08, 2022 22:50Karen Decker Kaimu Balozi wa Marekani nchini Afghanistan amesema kuwa ni jambo lililo mbali kwa nchi yake kurejea tena kijeshi huko Afghanistan.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Dunia haijasahau kashfa ya makaburi ya halaiki nchini Canada
Oct 06, 2022 10:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Ulimwengu bado haujasahau kashfa ya kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki ya mamia ya watoto katika viwanja vya shule za wamishonari yapata mwaka mmoja uliopita.
-
Kung'ang'ania Biden kuiwekea vikwazo vipya Tehran, dhihirisho la uadui kwa wananchi wa Iran
Oct 06, 2022 05:47Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumatatu ya tarehe 3 Oktoba 2022, alijitokeza hadharani bila ya haya na kuunga mkono machafuko na kuuliwa maafisa usalama na wananchi wa Iran katika vurugu za hivi karibuni.
-
Pyongyang yavurumisha tena makombora ya balestiki kujibu chokochoko za US
Oct 06, 2022 03:34Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini imefyatua makombora yake ya balestiki kuelekea upande wa Japan, kujibu chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Pyongyang.
-
Kashfa ya ngono yatikisa Ligi ya Soka ya Wanawake ya Marekani na Shirikisho la Soka la nchi hiyo
Oct 05, 2022 03:40Katika ripoti yake, Kaimu Mwanasheria Mkuu wa Marekani amefichua kashfa ya ngono katika Ligi ya Soka ya Wanawake ya Marekani na Shirikisho la Soka la nchi hiyo.
-
Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran
Oct 04, 2022 04:33Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.
-
Lavrov: Marekani inaisambaratisha Ukraine kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Oct 03, 2022 22:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inasababisha kupata hasara kubwa na kusambaratishwa Ukraine kwa ajili ya kutoa vitisho kwa Russia.
-
Kiwango cha vijana kujitoa uhai nchini Marekani chaongezeka
Oct 01, 2022 08:39Idadi ya wananchi wa Marekani hususan vijana wanaojitoa uhai imeongezeka kwa kiwango cha kutisha.