Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Vyombo vya usalama Tanzania vyamkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu

    Vyombo vya usalama Tanzania vyamkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu

    Nov 17, 2025 00:16

    Polisi ya Tanzania imetangaza kuwa imemkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu katika mpaka wa Tanzania na Kenya.

  • Nchi wanachama wa NATO kuilipa Marekani yuro milioni 400 za silaha itakazoipatia Ukraine

    Nchi wanachama wa NATO kuilipa Marekani yuro milioni 400 za silaha itakazoipatia Ukraine

    Nov 15, 2025 22:57

    Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO Mark Rutte amesema, nchi kadhaa wanachama wa shirika hilo zitachangia kwa pamoja shehena ya silaha na zana za kijeshi yenye thamani ya yuro milioni 400 kwa ajili ya Ukraine, ambazo zitanunuliwa kutoka Marekani.

  • Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza?

    Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza?

    Nov 15, 2025 22:56

    Russia na China ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimetaka kufutwa kikamilifu "Tume ya Amani" kwenye matini ya rasimu iliyowasilishwa na Marekani kwenye baraza kuhusu Gaza.

  • Kwa nini Marekani inataka Uturuki iachane na nishati ya Russia?

    Kwa nini Marekani inataka Uturuki iachane na nishati ya Russia?

    Nov 14, 2025 23:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameitaka Uturuki iache kununua nishati ya Russia.

  • Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?

    Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?

    Nov 14, 2025 04:39

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa kutohudhuria Wamarekani katika kikao cha G20 ni hasara kubwa kwao.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani: EU siyo inayoainisha sheria za kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani: EU siyo inayoainisha sheria za kimataifa

    Nov 14, 2025 04:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio amesema, nchi yake haitakubali mahubiri yanayotolewa na Umoja wa Ulaya EU kuhusu jinsi inavyoendesha shughuli zake za usalama wa taifa na akapuuza ukosoaji wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo kwa mashambulizi ya kijeshi yanayofanywa na Marekani kuzilenga boti zinazopita eneo la Carribean.

  • Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu

    Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu

    Nov 11, 2025 23:01

    Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.

  • Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?

    Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?

    Nov 09, 2025 22:52

    Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa kwa kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Yemen na kusababisha mateso kwa raia.

  • Qalibaf: Marekani lazima ikubali matokeo ya uchokozi wake wa wazi dhidi ya Iran

    Qalibaf: Marekani lazima ikubali matokeo ya uchokozi wake wa wazi dhidi ya Iran

    Nov 09, 2025 08:20

    Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, anasema Marekani lazima ikabiliane na matokeo ya kisheria na kisiasa ya kitendo chake cha uchokozi mbaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, mapema mwaka huu.

  • Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?

    Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?

    Nov 08, 2025 08:11

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS