-
Ukosoaji mkali zaidi kuwahi kufanywa na Ujerumani: Marekani inaigeuza dunia "pango la wezi"
Jan 09, 2026 23:02Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani amezikosoa vikali sera za nje za Rais wa Marekani Donald Trump na kuutaka ulimwengu usiruhusu nidhamu ya dunia ikageuzwa kuwa "pango la wezi".
-
Wazimu wa kijeshi wa Marekani; Bajeti ya kijeshi ya dola trilioni 1.5 kwa mwaka 2027
Jan 09, 2026 23:02Rais Donald Trump ametangaza kwamba anakusudia kuongeza bajeti ya kijeshi ya Marekani hadi dola trilioni 1.5 ifikapo mwaka 2027.
-
Marekani ina ndoto gani kuhusu mafuta ya Venezuela?
Jan 09, 2026 10:52Kufuatia operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela, swali muhimu limeibuka: Washington ina mipango gani kwa ajili ya mafuta ya nchi hiyo?
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Waandamanaji watajitenga na wachache wanaovuruga amani
Jan 09, 2026 09:40Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran, Hujjatul Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu Torabi Fard amesema, waandamanaji waelewa na wenye ghera ya uhuru na mamlaka imara ya nchi watatenganisha njia yao na ya wachache wanaoitakia mabaya nchi, wafanyao vitendo vya ukatili na kuvuruga nidhamu ya jamii; na hilo ni jambo lenye ulazima usioweza kuepukika.
-
Wacolombia waandamana kulaani vikali vitisho vya kijeshi vya Trump
Jan 08, 2026 09:12Maelfu ya wananchi wa wa Colombia wamefanya maandamano nchi nzima kulaani vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yao kama vile vya kuishambulia kijeshi Venezuela.
-
Wakazi wa Greenland: Tuna wasiwasi na mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kujimilikisha kisiwa hiki
Jan 08, 2026 09:06Wakazi wa kisiwa cha Greenland wameelezea wasiwasi wao kuhusu nia ya Marekani ya kujimilikisha kisiwa hicho kikubwa katika eneo la Aktiki, huku mijadala kuhusu mamlaka ya kujitawala ardhi hiyo ikipamba moto.
-
Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington
Jan 08, 2026 06:36Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.
-
Iran: Filihali sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani
Jan 08, 2026 03:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa sasa sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani.
-
Russia yalaani 'uharamia' wa Marekani wa kukamata meli yake ya mafuta
Jan 08, 2026 02:58Moscow imelaani vikali kitendo cha Marekani cha kukamata meli ya mafuta yenye bendera ya Russia katika Bahari ya Atlantic, na kuitaja hatua hiyo kama ukiukaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Sheria ya Bahari.
-
Vyama vya Tunisia vyamjia juu Trump kwa kukiuka sheria za kimataifa
Jan 08, 2026 02:39Vyama vya kisiasa na harakati za kijamii na kiraia nchini Tunisia zimetangaza kupinga vikali ajenda ya sera ya kigeni ya Rais wa Marekani Donald Trump, hasa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Venezuela na ushupaliaji wake wa kutaka kuidhibiti Greenland.