-
Kukiri Obama kwamba jamii ya Marekani ina mpasuko na mgawanyiko wa kambi mbili
Nov 17, 2020 04:00Mgogoro wa kisiasa ambao haujawahi kushuhudiwa, unaoendelea hivi sasa ndani ya Marekani, ambao umetokana na rais wa nchi hiyo Donald Trump aliyegombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican kukataa kwamba ameshindwa katika kinyang'anyiro hicho cha 2020 na Joe Biden aliyegombea kwa tiketi ya chama cha Democratic, umepelekea kutolewa tahadhari na indhari kubwa juu ya hatari ya kugawanyika nchi hiyo.
-
Obama: Matokeo ya uchaguzi yanaonyesha Marekani imegawanyika katika kambi mbili
Nov 16, 2020 03:36Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema, matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu yamedhihirisha kuwa, kuna mpasuko mkubwa wa tofauti ndani ya nchi hiyo.
-
Biden kutazama upya uhusiano wa karibu wa Marekani na Saudia
Nov 15, 2020 08:57Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa, Rais mteule wa nchi hiyo, Joe Biden anatazamiwa kuangalia upya uhusiano wa karibu uliopo hivi sasa baina ya nchi hiyo na Saudi Arabia.
-
Ghalibaf: Kasi ya kuporomoka Marekani imeongezeka
Nov 15, 2020 04:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matukio yaliyoambatana na uchaguzi wa Marekani yamezidi kuporomosha itibari ya nchi hiyo na kuongeza kasi ya kuporomoka mfumo wa kibeberu wa Marekani.
-
Mbunge wa Iraq: Muswada wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani, utekelezwe haraka
Nov 15, 2020 04:37Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesisitiza kwamba, hakutakuwa na tofauti yoyote kubadilishwa sura ya rais wa Marekani, lililo muhimu kwa Iraq ni kutekelezwa muswada uliopasishwa na bunge la nchi hiyo wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq.
-
Kundi la G-77 na China zatoa wito wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran
Nov 14, 2020 06:16Baada ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 katika fremu ya siasa zake za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi, Marekani iliamua kutekeleza na kuzidisha vikwazo vikali dhidi ya Jamhuri ya Kiilamu ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia.
-
Trump kushiriki maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi Marekani
Nov 14, 2020 03:51Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump amesema yumkini leo atajiunga na wafuasi wake katika maandamano ya mjini Washington, ya kupinga mchakato na matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita.
-
Wito wa kuhitimishwa sarakasi za uchaguzi wa rais wa Marekani
Nov 14, 2020 03:16Kuendelea kwa mzozo wa matokeo ya uchaguzi wa rais wa Marekani uliozushwa na Rais Donalld Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi huo, kupanuka mzozo huo na kutolewa madai mapya kumetajwa kuwa ni tahadhari kubwa kuhusiana na matokeo mabaya kwa Marakeni.
-
Trump: Kuna wizi mkubwa wa kura nchini Marekani; Waendeshaji wasema, hakuna ushahidi
Nov 13, 2020 23:03Huku rais wa Marekani, Donald Trump, akiendelea kulalamikia uchakachuaji na wizi mkubwa wa kura nchini Marekani, taasisi zilizohusika na uendeshaji wa uchaguzi huo zimesema kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha kuweko uchakachuaji au kupotea kura za uchaguzi huo wa Novemba 3, 2020.
-
Marekani yakerwa na kuchunguzwa rekodi yake mbovu ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa
Nov 13, 2020 05:38Marekani ambayo ni mmoja wa wakiukaji wakubwa zaidi wa haki za binadamu duniani, ina historia nyesu kuhusu jambo hilo na daima imekuwa ikiingilia masuala ya ndani na kuzikosoa nchi nyingine ili kujaribu kukwepa kuwajibika mbele ya Wamarekani na walimwengu kwa ujumla kuhusu suala hilo.