-
Muungano wa al Faf'h Iraq: Trump na Biden ni pande mbili za sarafu moja
Nov 04, 2020 04:15Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Donald Trump na Joe Biden ni pande mbili za sarafu moja na kwamba, yeyote atakayeshinda uchaguzi wa rais wa Marekani baina ya wawili hao atahudumia maslahi ya harakati za Wazayuni za kutaka kujipanua zaidi katika eneo hili la magharibi mwa Asia.
-
Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 03, 2020 10:11Serikali ya Trump ikiwa na lengo la kuuridhisha utawala wa haramu wa Israel imechukua hatua tofauti ikiwemo ya kuandaa uwanja wa kutambuliwa rasmi utawala huo na mataifa ya Kiarabu na Kiislamu ambapo hatua yake ya karibuni kabisa na kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala huo ghasibu.
-
Trump arefusha vikwazo dhidi ya Sudan licha ya Khartoum kukubali kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 03, 2020 05:47Rais Donald Trump wa Marekani amerufusha hali ya hatari na vikwazo vva nchi hiyo dhidi ya Sudan licha ya kutoa ahadi ya kuiondoa nchi hiyo katika orodha ya Washington ya nchi eti zinazofadhili ugaidi baada ya Khartoum kukubali kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Kushadidi migawanyiko ya kisiasa na kijamii Marekani
Nov 02, 2020 08:08Kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani zimefika ukingoni. Ikiwa imesalia masaa machache kabla ya uchaguzi mkuu, kumeshuhudiwa majibizano makali baina ya wagombea urais na wafuasi wao na hata katika baadhi ya maeneo kumeripotiwa kuongezeka mapigano ya mitaani baina ya wafuasi wa kambi mbili hasimu za kisiasa.
-
Marekani sasa inaishinikiza Somalia kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 02, 2020 04:04Vyombo vya habari nchini Somalia vimeripoti kuwa, Marekani inaishinikiza nchi hiyo ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wasiwasi wa kuibuka ghasia huku siku ya uchaguzi ikikaribia Marekani
Nov 01, 2020 08:26Kuna wasiwasi mkubwa kuwa kutaibuka machafuko na ghasia nchini Marekani baada ya upigaji kura siku ya Jumanne.
-
Kufichuliwa hatua za upendeleo za Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani kwa maslahi ya kampeni za uchaguzi za Trump
Oct 30, 2020 09:09Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani John Ratcliffe amezungumzia tuhuma za Iran kuingilia uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani ambazo sasa imebainika kuwa zimetolewa ili kuimarisha kampeni za uchaguzi za Donald Trump.
-
Trump akiri: Hakuna uhuru wa vyombo vya habari nchini Marekani
Oct 29, 2020 23:16Tangu aliposhika madaraka ya nchi Januari mwaka 2017, Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akihujumu vikali vyombo vya habari vinavyomkosoa yeye na utendaji wa serikali yake.
-
Wamarekani magaidi waendelea kuiba mafuta ya Syria
Oct 28, 2020 08:54Duru mbalimbali za Syria zimetangaza habari ya kuendelea wizi wa mafuta ya nchi hiyo unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani.
-
Iran: Njama mpya za Marekani na Israel dhidi yetu zitafeli
Oct 28, 2020 04:15Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njama mpya za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kutoa pigo kwa Iran kupitia uanzishwaji wa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv, zitagonga mwamba.