Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuumbuka tena Marekani kwa kukataliwa takwa lake la kutekeleza

    Kuumbuka tena Marekani kwa kukataliwa takwa lake la kutekeleza "Snapback Mechanism" na Rais wa Baraza la Usalama la UN

    Aug 26, 2020 08:18

    Baada ya Marekani kugonga mwamba kwa kushindwa kufanikisha njama yake ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, iliamua kuwasilisha shtaka jengine dhidi ya Tehran kwa kisingizio kuwa eti imekiuka msingi wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kwa hivyo ikataka utekelezwe Utaratibu wa Kurejesha Vikwazo Papo kwa Papo, unaojulikana kitaalamu kama 'Snapback Mechanism';

  • Makamu wa Rais wa Iran: Ukatili wa polisi ya Marekani unatokana na fikra za kibaguzi

    Makamu wa Rais wa Iran: Ukatili wa polisi ya Marekani unatokana na fikra za kibaguzi

    Aug 26, 2020 03:08

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ukatili wa polisi ya Marekani unatokana na chuki ya kihistoria yenye mizizi katika fikra ya ubaguzi wa rangi inayotawala nchi hiyo.

  • Sudan yataka kuondolewa katika orodha ya ugaidi, yakataa kuanzisha uhusiano na Israel

    Sudan yataka kuondolewa katika orodha ya ugaidi, yakataa kuanzisha uhusiano na Israel

    Aug 26, 2020 01:38

    Serikali ya Sudan imetoa taarifa ikiiambia Marekani kwamba suala la kuondolewa jina la Sudan katika orodha ya magaidi halipasi kushurutishwa na kuanzisha uhusiano wa kidoplomasia na utawala haramu wa Israel.

  • Kampuni ya TikTok ya China kumshtaki Rais Trump wa Marekani

    Kampuni ya TikTok ya China kumshtaki Rais Trump wa Marekani

    Aug 25, 2020 22:18

    Kampuni ya TikTok ya China imefungua kesi ya kupinga amri ya Rais Donal Trump wa Marekani inayozuia shughuli zozote za kampuni mama ya kampuni ,ByteDance, kuendesha shughuli zake nchini Marekani.

  • Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 25, 2020 07:49

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donal Trump nchini Marekani, nchi hiyo imefanya mambo na kuchukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.

  • Zarif aushangaa uchu wa Pompeo wa kurundika silaha za US Asia Magharibi

    Zarif aushangaa uchu wa Pompeo wa kurundika silaha za US Asia Magharibi

    Aug 25, 2020 03:36

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa kuvunja sheria za nchi hiyo ili kukidhi uchu wake wa kutaka kuuza silaha za kijeshi kwa wingi katika nchi za eneo la Asia Magharibi.

  • Allawi atahadharisha kuhusu njama za Marekani dhidi ya Iraq

    Allawi atahadharisha kuhusu njama za Marekani dhidi ya Iraq

    Aug 23, 2020 21:58

    Mkuu wa Muungano wa al Wataniya wa Iraq amesema kuwa Marekani ikishirikiana na Uingereza na Ufaransa, inaongoza njama dhidi ya Iraq kwa kisingizio cha muungano wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Upinzani wa wanachama 13 wa Baraza la Usalama kwa ombi la Marekani la kuanzisha utaratibu wa

    Upinzani wa wanachama 13 wa Baraza la Usalama kwa ombi la Marekani la kuanzisha utaratibu wa "Snapback Mechanism"

    Aug 22, 2020 05:57

    Kushindwa Marekani katika njama zake za kulazimisha kukubaliwa pendekezo la kuiongezea Iran muda wa vikwazo vya silaha katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumeipelekea Washington kuchukua hatua ya kukurupuka ya kuwasilisha ombi la kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran papo kwa hapo yaani "Snapback Mechanism." Ombi hilo la Marekani hata hivyo nalo limepingwa vikali ndani ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Migawanyiko ya kisiasa yazidi Iraq baada ya safari ya Waziri Mkuu Al Kadhimi nchini Marekani

    Migawanyiko ya kisiasa yazidi Iraq baada ya safari ya Waziri Mkuu Al Kadhimi nchini Marekani

    Aug 22, 2020 03:02

    Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi nchini Marekani na mkutano wake na Rais Donald Trump wa nchi hiyo huku kukiwa na mgongano wa wazi baina ya "yale yanayosemwa" na "uhalisia wa mambo."

  • Al Kadhimi: Wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika kipindi cha miaka mitatu

    Al Kadhimi: Wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika kipindi cha miaka mitatu

    Aug 21, 2020 22:28

    Waziri Mkuu wa Iraq ameeleza yaliyojiri katika mazungumzo yake na viongozi wa Marekani katika safari yake nchini humo akisema kwamba: Trump amesisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika muda wa miaka mitatu ijayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS