-
EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran
May 30, 2020 03:41Umoja wa Ulaya na China zimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kufuta misamaha ya vikwazo inayohusiana na makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.
-
Ubaguzi waendelea Marekani, mwanahabari wa CNN akamatwa akiripoti mubashara
May 29, 2020 23:16Polisi nchini Marekani wameendeleza vitendo vya kuwabagua Wamarekani wenye asilia ya Afrika na mara hii mwanahabari wa Televisheni ya CNN amekamatwa akiwa anarusha ripoti hewani mubashara kuhusu ghasia za kupinga ubaguzi wa rangi huko Minneapolis.
-
Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi
May 29, 2020 22:23Ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.
-
Kongresi ya Marekani yataka kufanyika uchunguzi katika mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo
May 29, 2020 06:43Bunge la Kongresi la Marekani sambamba na kutahadharisha juu ya kupotea imani ya wananchi kuhusu utekelezaji wa sheria usio na ubaguzi, limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo hususan mauaji ya hivi karibini.
-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani: Vita vya mwaka 2003 ndio sababu ya matatizo ya leo ya Iraq
May 29, 2020 06:28Waziri wa zamani wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa vita vya mwaka 2003 vya Marekani nchini Iraq ndio chanzo kikuu cha matatizo ya sasa ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri wa Ulinzi wa China aitahadharisha Marekani
May 28, 2020 21:52Waziri wa Ulinzi wa China amesema kuwa ushindani wa nchi hiyo na Marekani umeingia katika nukta nyeti na hatari na kwamba China ni lazima iimarishe zaidi moyo wa kusimama imara.
-
Marekani yaondoa misamaha ya nyuklia ya Iran
May 28, 2020 21:52Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo Mei 8 2018, ilianza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran. Vikwazo hivyo vya upande mmoja ni ukiukwaji wa wazi wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
China: Mgogoro kati yetu na Marekani umeshtadi zaidi, kupenda makubwa kwa Trump ndio sababu
May 28, 2020 12:51Waziri Mkuu wa China ameelezea kushtadi mgogoro kati ya nchi yake na Marekani
-
Mwandamanaji auawa Marekani katika maandamano ya kulalamikia muaji
May 28, 2020 05:31Mtu mmoja amepigwa raisasi na kuuawa katika maandamano katika mji wa Minneapolis nchini Marekani.
-
Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa
May 28, 2020 04:52Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nyingi tofauti hususan wakati huu wa mgogoro wa maambukizi ya corona. Hivi sasa bara la Ulaya limekumbwa na mgogoro ambao haujawahi kutokea barani humo. Si hayo tu, lakini mivutano iliyodhihiri zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya wakati huu wa corona, ni msiba mwingine uliolikumba bara hilo na kuzidi kuonesha udhaifu wake katika nyuga tofauti hasa za kiafya na kiuchumi na utegemezi wa nchi hizo kwa mataifa mengine kama China.