Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • "Hatukuiruhusu Marekani ikandamize kwa goti uzalishaji nchini Iran"

    Jun 09, 2020 03:42

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kaulimbiu ya 'Ustawi mkubwa katika Uzalishaji' ndiyo suluhu ya matatizo yote ya kiuchumi ya Jamhuri ya Kiislamu, na hilo litaafikiwa kwa ushirikiano na jitihada za pamoja.

  • Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq

    Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq

    Jun 09, 2020 03:32

    Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • UN yatakiwa kuitisha mkutano wa dharura kufuatia mauaji ya kikatili ya Floyd Marekani

    UN yatakiwa kuitisha mkutano wa dharura kufuatia mauaji ya kikatili ya Floyd Marekani

    Jun 09, 2020 03:30

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetakiwa kuitisha mkutano wa dharura wa kujadili mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi mzungu dhidi ya raia mwenye asili ya Afrika, George Floyd mwishoni mwa mwezi uliopita wa Mei.

  • Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi

    Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi

    Jun 08, 2020 07:39

    Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesiistiza kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Ghuba ya Uajemi kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yawe katika fremu ya kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya Qatar na kutoingiliwa masuala yake ya ndani.

  • Polisi mweusi wa Marekani alaani vikali ukiukwaji wa haki za weusi nchini humo

    Polisi mweusi wa Marekani alaani vikali ukiukwaji wa haki za weusi nchini humo

    Jun 07, 2020 08:47

    Afisa mmoja wa polisi katika wilaya ya Hoke, moja ya miji muhimu ya jimbo la Carolina Kaskazini nchini Marekani amekosoa vikali ukiukaji wa haki za binadamu za watu weusi nchini humo.

  • Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani

    Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani

    Jun 07, 2020 07:25

    Uhusiano wa Marekani na Ujerumani katika mtazamo mpana wa kupungua uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Marekani umekumbwa na mvutano hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump.

  • Viongozi wa Marekani wakosoa vikali uamuzi wa Trump wa kutumia jeshi kukabiliana na waandamanaji

    Viongozi wa Marekani wakosoa vikali uamuzi wa Trump wa kutumia jeshi kukabiliana na waandamanaji

    Jun 07, 2020 00:05

    Viongozi wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Rais Donald Trump wa kutuma wanajeshi kwa lengo la kukabiliana na waandamanaji.

  • Wakazi wa New York waendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Wakazi wa New York waendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Jun 06, 2020 12:46

    Wakazi wa New York nchini Marekani wameendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi na ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya watu weusi.

  • Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani

    Mauaji ya George Floyd yaporomosha vibaya umaarufu wa Trump nchini Marekani

    Jun 06, 2020 06:59

    Wimbi la maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji watu wasio wazungu linaendelea nchini Marekani huku kiwango cha umaarufu wa rais wa nchi hiyo, Donald Trump kikiporomoka vibaya na kufikia asilimia 44.

  • Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu

    Jun 06, 2020 03:41

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ametoa pendekezo la kufanyika duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia na Tehran na kusisitiza kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kumshinda adui.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS