Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Corona; dhihirisho la tabia ya kigaidi ya Marekani dhidi ya taifa la Iran

    Corona; dhihirisho la tabia ya kigaidi ya Marekani dhidi ya taifa la Iran

    May 14, 2020 19:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, licha ya kuwa siku zote Marekani inajulikana kuwa ni nchi ya kigaidi, lakini si kwa kiwango hiki cha hata kuzuia bidhaa za afya na tiba zikiwemo dawa kuwafikia watu wa Iran.

  • Rais Rouhani: Utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani

    Rais Rouhani: Utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani

    May 13, 2020 09:11

    Rais Hassan Rouhani amesema, utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani na akaongeza kuwa, serikali ya Marekani siku zote ni ya kigaidi lakini kiwango hiki hakijawahi kushuhudiwa.

  • Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    May 13, 2020 03:48

    Russia imesema itapinga jitihada zozote za Marekani za kutaka muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran uongezwe utakapomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Maelfu ya Wamarekani wakana uraia wao ndani ya miezi 3 ya 2020

    Maelfu ya Wamarekani wakana uraia wao ndani ya miezi 3 ya 2020

    May 13, 2020 03:43

    Maelfu ya raia wa Marekani wanaoshi nje ya nchi hiyo wametangaza kukana uraia wao mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali.

  • Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    May 12, 2020 21:51

    Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.

  • Iran: Hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani

    Iran: Hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani

    May 12, 2020 03:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani kwa sababu Washington haiwezi kuaminika kwa mazungumzo inayofanya.

  • Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia

    Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia

    May 12, 2020 01:38

    Baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilianzisha vita katika maeneo tofauti duniani kwa madai ya kupambana na ugaidi na hasa katika nchi mbili za Waislamu, za Afghanistan na Iraq ambazo hatimaye ilizikalia kwa mabavu.

  • Sababu na lengo la Marekani kuondoa ngao ya makombora ya Patriot Saudi Arabia

    Sababu na lengo la Marekani kuondoa ngao ya makombora ya Patriot Saudi Arabia

    May 11, 2020 22:09

    Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kuhusu uamuzi wa Marekani kuondoa mfumo wake wa ngao ya makombora ya Patriot kutoka Saudi Arabia, ripoti ambazo pia zimethibitishwa na Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.

  • Wakazi wa Washington wanaolala kwenye mahema kwa kukosa nyumba waongezeka kwa asilimia 300

    Wakazi wa Washington wanaolala kwenye mahema kwa kukosa nyumba waongezeka kwa asilimia 300

    May 11, 2020 11:50

    Idadi ya watu wanaolala kwenye mahema katika barabara za mji wa Washington, mji mkuu wa Marekani hasa baada ya kuenea virusi vya Corona, imeongezeka kwa asilimia 300.

  • Madai ya kipuuzi ya Mike Pompeo kuhusu mafanikio Marekani baada ya kujitoa katika mapatano ya JCPOA

    Madai ya kipuuzi ya Mike Pompeo kuhusu mafanikio Marekani baada ya kujitoa katika mapatano ya JCPOA

    May 11, 2020 02:31

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuyakosoa vikali mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, Mei 8 mwaka 2018 alichukua uamuzi wa upande mmoja wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS