-
Biden aongoza katika kura za maoni za kushinda nafasi ya kuongombea uchaguzi wa chama cha Democrat
Jan 02, 2020 23:21Matokeo mapya ya kura ya maoni ndani ya chama cha Democrat nchini Marekani yanamuonyesha Joe Biden, makamu wa rais wa zamani kuwa anayeongoza washindani wengine wa chama hicho.
-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani atoa vitisho kwa Iraq kwamba nchi yake itafanya mashambulizi zaidi dhidi ya taifa hilo
Jan 02, 2020 13:52Waziri wa Ulinzi wa Marekani sambamba na kuituhumu Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kwa kile alichokidai kuwa ni hatua za kichochezi, ametishia kuzidisha mashambulizi nchini Iraq.
-
Iran yaitaka Marekani iachane na sera zake haribifu katika eneo
Jan 01, 2020 04:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani juu ya matokeo mabaya ya hatua zake haribifu na zisizo na mantiki katika eneo la Asia Magharibi.
-
Marekani kutuma askari 4000 Asia Magharibi baada ya ubalozi wake 'kuvamiwa' Iraq
Jan 01, 2020 04:27Serikali ya Washington inajiandaa kutuma wanajeshi 4,000 wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, baada ya wananchi waliokuwa na ghadhabu wa Iraq kufanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
IRGC: Vikosi na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu shambulizi la Marekani
Dec 31, 2019 03:55Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) sambamba na kulaani uvamizi uliofanywa na wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Iraq na shambulio walilofanya dhidi ya ngome za vikosi vya kujitolea vya wananchi vya wa nchi hiyo vya Hashdu Shaabi, limesema vikosi vya usalama pamoja na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu chokochoko hizo za Washington.
-
Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani
Dec 30, 2019 23:14Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani nchi hiyo ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kutekeleza mashambulizi kadhaa ya kibabe katika pembe tofauti za dunia kufuatia madai hayo ya uongo, lakini kuenea kwa vitendo vya utumiaji silaha nchini humo, kumewapelekea watawala wa nchi hiyo kutoa tahadhari kuhusiana na kuenea ugaidi katika nchi hiyo ya Magharibi.
-
Wanajeshi waliostaafu Marekani wahamia Vietnam kupata huduma bora za afya
Dec 29, 2019 09:34Maelfu ya Wamarekani waliostaafu wakiwemo maveterani wa kivita wanaihama nchi yao na kuelekea Vietnam ili kupata huduma bora za afya na zenye bei nafuu.
-
Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria
Dec 28, 2019 07:13Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Njama za Pompeo za kuhalalisha jinai za utesaji za Shirika la Ujasusi la Marekani CIA
Dec 28, 2019 04:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametoa radiamali kufuatia kusambaa video ya utesaji ya Shirika la Ujasusi la Marekani CIA ambapo amejaribu kuhalalisha jinai za shirika hilo.
-
"Zawadi ya Krismasi" ya Korea Kaskazini na hofu na kiwewe cha Marekani na waitifaki wake
Dec 28, 2019 03:32Sambamba na kukaribia kumalizika muhula iliotoa Korea Kaskazini kwa Marekani, ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa, harakati za ndege za ujasusi za Washington katika anga ya Peninsula ya Korea zimeshtadi na kupamba moto.