Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Uamuzi wa Trump kumbadilisha Waziri wa Mambo ya Nje

    Uamuzi wa Trump kumbadilisha Waziri wa Mambo ya Nje

    Dec 27, 2019 04:22

    Gazeti moja la Marekani limeeleza uwezekano wa kubadilishwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na kuteuliwa mtu mwingine mahala pake.

  • Radiamali ya Marekani kwa maneva ya Iran, Russia na China

    Radiamali ya Marekani kwa maneva ya Iran, Russia na China

    Dec 27, 2019 03:47

    Sean Robertson msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema kuwa nchi hiyo ina taarifa kuhusu maneva kati ya Iran, Russia na China na inafuatilia maneva hiyo.

  • Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani

    Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani

    Dec 26, 2019 22:54

    Kwa kuzingatia kuwa Marekani ndiko yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo ya kibeberu daima imekuwa ikiwawekea vikwazo wanadiplomasia na maafisa wa ngazi za juu wa nchi zinazopinga siasa za Washington, wanaoazimia kusafiri nchini humo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kikazi.

  • Kamanda wa jeshi la Majini Iran: Marekani haina uthubutu wa kuivamia kijeshi Iran

    Kamanda wa jeshi la Majini Iran: Marekani haina uthubutu wa kuivamia kijeshi Iran

    Dec 26, 2019 22:52

    Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran amesema kuwa Wamarakeni wana umaarufu wa kufanya uvamizi dhidi ya nchi mbalimbali lakini kutokana na uwezo na utayarifu wa jeshi la nchi hii, hawana uthubutu wa kuivamia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • 2019; mwaka wa vifo vingi vya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Afghanistan

    2019; mwaka wa vifo vingi vya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Afghanistan

    Dec 25, 2019 21:41

    Mwaka 2019 umetajwa kuwa mwaka wa mauti zaidi kwa wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Afghanistan tangu kumalizika rasmi oparesheni za kivita nchini humo.

  • Jarida la Christianity Today la Marekani lamponda tena Trump

    Jarida la Christianity Today la Marekani lamponda tena Trump

    Dec 24, 2019 08:16

    Jarida la Kiinjilisti la Christianity Today la Marekani kwa mara nyingine tena limemkosoa vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo, likisisitiza kuwa mwanasiasa huyo wa Republican anapaswa kuondolewa ofisini.

  • John Bolton akiri kufeli siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Trump dhidi ya Korea Kaskazini

    John Bolton akiri kufeli siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Trump dhidi ya Korea Kaskazini

    Dec 24, 2019 03:32

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akitumia mabavu dhidi ya nchi shindani na zinazopinga siasa za Washington, pia anatekeleza siasa za vitisho na mazungumzo ya siri dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani atishia kupigana vita na Korea Kaskazini

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani atishia kupigana vita na Korea Kaskazini

    Dec 24, 2019 00:55

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani ameitishia kuanzisha vita dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Uamuzi wa Mahakama ya ICC wa kufuatilia jinai za utawala wa Kizayuni

    Uamuzi wa Mahakama ya ICC wa kufuatilia jinai za utawala wa Kizayuni

    Dec 21, 2019 21:43

    Hatua zilizo dhidi ya ubinadamu na za ukiukaji sheria zinazochukuliwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina zimekuwa zikilaaniwa mara kwa mara na taasisi za kutetea haki za binadamu na pia za kimataifa. Kutokana na kushtadi kwa hatua hizo za utendaji jinai, taasisi ya kimataifa yenye jukumu la kushughulikia jinai za kivita hivi sasa imepanga kuchunguza suala hilo.

  • Jumapili, Disemba 22, 2019

    Jumapili, Disemba 22, 2019

    Dec 21, 2019 21:42

    Leo ni Jumapili tarehe 25 Mfungo Saba Rabiuth-Thani 1441 Hijria, sawa na tarehe 22 Disemba 2019 Miladia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS