Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote

    Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote

    Dec 20, 2019 23:35

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa kinyume cha sheria kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haina maslahi kwa Marekani yenyewe wala upande wowote wa mapatano hayo ya kimataifa.

  • Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani

    Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani

    Dec 20, 2019 02:46

    Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.

  • Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani

    Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani

    Dec 19, 2019 00:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uingiliaji mambo wa Marekani ndilo chimbuko la matatizo na migogoro inayoukabili uliwemwengu wa Kiislamu hii leo.

  • Kupitishwa bajeti ya kijeshi ya 2020 katika Seneti ya Marekani; kuzidi kuaminisha utumizi wa nguvu za kijeshi

    Kupitishwa bajeti ya kijeshi ya 2020 katika Seneti ya Marekani; kuzidi kuaminisha utumizi wa nguvu za kijeshi

    Dec 18, 2019 04:06

    Marekani ni nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, yakiwa ni matokeo ya sera yake ya kuaminisha zaidi kutumia mabavu na nguvu za kijeshi katika uga wa kimataifa. Washington huongeza kila mwaka bajeti yake hiyo; na kwa kufanya hivyo kupiga hatua zaidi za kupanua na kuimarisha nguvu zake za kijeshi.

  • China yatoa radiamali yake baada ya Marekani kuwatimua wanadiplomasia wake kutoka Washington

    China yatoa radiamali yake baada ya Marekani kuwatimua wanadiplomasia wake kutoka Washington

    Dec 17, 2019 22:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China sambamba na kukosoa vikali hatua ya Marekani ya kuwatimua wanadiploamasia wake kutoka Washington, imeitaka White House kuangalia upya msimamo wake huo ili izuie kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon aunga mkono misimamo ya Hizbullah

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon aunga mkono misimamo ya Hizbullah

    Dec 17, 2019 09:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon Gebran Bassil ameunga mkono misimamo ya harakati ya muqawama ya Hizbullah katika uga wa kisiasa na kijeshi wa nchi hiyo.

  • Uturuki kujibu mapigo kwa kutambua kuuliwa wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni 'mauaji ya kimbari'

    Uturuki kujibu mapigo kwa kutambua kuuliwa wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni 'mauaji ya kimbari'

    Dec 17, 2019 09:11

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, nchi yake itachukua hatua ya kuyatambua mauaji ya mamilioni ya wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni "mauaji ya kimbari" ili kujibu mapigo kwa hatua ya karibuni iliyochukuliwa na serikali ya Washington ya kuyaelezea mauaji ya halaiki ya Waarmenia yaliyofanywa na utawala wa zamani wa Uturuki wa Dola la Othmaniya kuwa ni mauaji ya kimbari.

  • Rais Bashar al Assad: Mapambano dhidi ya magaidi ni utangulizi wa mapambano dhidi ya Marekani

    Rais Bashar al Assad: Mapambano dhidi ya magaidi ni utangulizi wa mapambano dhidi ya Marekani

    Dec 16, 2019 09:13

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa mapambano dhidi ya magaidi ni utangulizi wa makabiliano ya uwepo haramu wa askari wa Marekani nchini humo.

  • Kusitishwa vita vya kibiashara kati ya China na Marekani

    Kusitishwa vita vya kibiashara kati ya China na Marekani

    Dec 15, 2019 08:24

    Hatua ya Marekani na China kutangaza kufikiwa makubaliano ya awali ya kibiashara, imesitisha vita vya kibiashara kati ya pande mbili.

  • Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu

    Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu

    Dec 15, 2019 04:19

    Waziri Mkuu wa Malaysia amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni batili na vya kidhalimu, na ambavyo vinakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS