-
Radiamali ya Korea Kaskazini kwa takwa la Marekani la kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama
Dec 15, 2019 03:32Korea Kaskazini imekosoa sababu iliyotolewa na Marekani ya kutaka kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili jaribio la kombora la hivi karibuni lililofanywa na serikali ya Pyongyang.
-
Harakati ya Answarullah ya Yemen: Marekani ndio inazuia kusimamishwa vita
Dec 14, 2019 21:43Mohammed Ali al-Houthi, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen ameitaja Marekani kuwa ndio kizuizi kikuu cha kutosimamishwa uvamizi na mzingiro dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.
-
Rais: Zimbabwe haitarejea katika matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani
Dec 14, 2019 03:58Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema licha ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kukabiliwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi, lakini haitarejea katika matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani.
-
Nasrullah: Hizbullah ni tishio kubwa kwa njama za Marekani na Israel
Dec 14, 2019 03:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama ghalati za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo zimekuwa zikigonga mwamba kutokana na uwepo na kusimama kidete harakati hiyo ya muqawama.
-
Kuwait: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo
Dec 13, 2019 23:36Mwakilishi wa Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo.
-
Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Marekani chaongezeka maradufu
Dec 13, 2019 23:34Wizara ya Kazi nchini Marekani imetoa ripoti mpya ikisema kuwa kiwango cha ukosefu wa ajira nchini humo kimeongezeka kwa kiwango cha juu.
-
Syria yakosoa jinai zinazofanywa na Marekani dhidi ya binadamu na haki zake
Dec 13, 2019 06:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeikosoa Marekani kutokana na jinai zake dhidi ya ubinadamu na haki za binadamu katika maeneo mbalimbali ya dunia na imetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai hizo.
-
Guterres asisitiza kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka azimio 2231
Dec 13, 2019 05:33Rais Donald Trump wa Marekani ni mpinazni mkali wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) akiyataja kuwa ni mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya Marekani.
-
Ripoti: Watoto walioko katika jela nchini Marekani wanabakwa na kudhalilishwa
Dec 12, 2019 21:13Ripoti mpya ya Taasisi ya Takwimu za Sheria ya Marekani imefichua kuwa, asilimia 7.1 ya watoto walioko katika mamia ya jela na vituo vya kurekebisha tabia vya watoto nchini Marekani walibakwa na kufanyiwa vitendo vingine vya udhalilishaji katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-
Mpango wa Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa Marekani barani Ulaya kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 11, 2019 04:41Donald Trump, rais machachari na mwenye makeke wa Marekani amewahi kusikika mara kadhaa akiwalaumu na kuwakosoa waitifaki wa Washington wa barani Ulaya na hata kutishia kwamba, nchi yake haitakuwa tayari kuendelea kugharimika kwa ajili ya usalama wa nchi za bara hilo; hata hivyo mpango uliotangazwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa nchi hiyo barani Ulaya umeyatoa maanani madai hayo ya Trump.