-
Wamarekani waandamana kupinga kushambuliwa kijeshi Venezuela
Mar 31, 2019 03:11Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington DC kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Venezuela.
-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran; Mahakama ya ICJ yaitaka Marekani ijieleze
Mar 31, 2019 03:09Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imesema, imeipeleka barua serikali ya Marekani kuitaka iondoe vikwazo ilivyoiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Radiamali ya Caracas dhidi ya vitisho vya Marekani kuhusiana na uwepo wa Russia nchini Venezuela
Mar 30, 2019 21:57Katika miaka mitatu ya hivi karibuni, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
-
Nchi za Kiarabu zatakiwa kuchukua hatua za kivitendo kuilinda Golan ya Syria
Mar 30, 2019 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika itaziongoza nchi nyingine za Kiarabu na jamii ya kimataifa katika kutoa radimali kwa hatua ya kichochezi ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel.
-
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amkejeli Bolton kwa kumshinikiza ajiuzulu
Mar 30, 2019 03:22Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amemjibu Mshauri wa Rais katika Usalama wa Taifa wa Marekani, John Bolton aliyemtaka waziri huyo ajiuzulu.
-
Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani
Mar 30, 2019 02:56Marekani ina historia ndefu na mbaya zaidi ya kutumia vikwazo dhidi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuendeleza malengo yake ya kibeberu. Kwa kweli viongozi wa ngazi za juu wa Marekani wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya nchi nyingine ndio wenzo bora kwao wa kuweza kufanikishia malengo yao.
-
Russia: Nchi za dunia zisibaki bila msimamo kuhusiana na sera za vikwazo za Marekani
Mar 29, 2019 21:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, nchi za dunia si tu haipasi zibaki bila msimamo kuhusiana na sera za vikwazo za Mareklani, bali inatakiwa zichukue hatua pia ya kukabiliana na sera hizo.
-
Brian Hook na ndoto ya alinacha ya kuizuia kikamilifu Iran isiuze mafuta yake
Mar 29, 2019 21:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, enzi za Marekani kutoa amri kwa nchi zingine ili kufanikisha matashi yake yaliyo dhidi ya ubinadamu na matakwa yake maovu na ya ubinafsi, hivi sasa hazipo tena.
-
Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi
Mar 29, 2019 03:43Katika mwenendelezo wa operesheni za jeshi la Syria kwenye maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti zana na silaha zilizosalia kwa magaidi, yakiwemo makombora aina ya TOW ya Marekani.
-
Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Italia
Mar 29, 2019 00:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametoa vitisho vipya dhidi ya nchi muitifaki wa Washington yaani Italia kwa kudai kuwa nchi kama Italia ambazo zinataka kujiunga na mradi wa kiuchumi wa China uliopewa jina la "Njia ya Hariri" zitambue kuwa zitapata hasara kubwa ya kisiasa.