-
Igizo jengine la Pompeo la uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran
Mar 29, 2019 00:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameifufua tena kampeni ya uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran kwa kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu kwa kile alichodai, nafasi haribifu iliyonayo katika eneo la Magharibi ya Asia na kuunga mkono ugaidi.
-
Jibu la Moscow kwa vitisho vya Marekani dhidi ya uhusiano wa Russia na Venezuela
Mar 28, 2019 06:57Marekani ingali inaendeleza sera zake kuhusu Venezuela zinazolenga kuipindua serikali na kumwondoa madarakani rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro anayefuata siasa za mrengo wa kushoto.
-
Qassemi: Marekani ifahamu haiwezi kupora utajiri wa Iran
Mar 28, 2019 03:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria hukumu ya Mahakama ya Luxembourg ambayo imekataa ombi la Marekani la kuchukua udhibiti wa mali za Benki Kuu ya Iran na kusema: "Marekani inapaswa kufahamu kuwa, kwa kutumia hadaa haiwezi kupora utajiri na milki za Wairani.
-
Marekani yaafiki kuiuzia Saudi Arabia teknolojia ya siri ya nyuklia
Mar 28, 2019 03:30Taarifa zilizofichuka zimebaini kuwa, Marekani imeuuzia utawala wa Saudi Arabia siri za nyuklia.
-
Utafiti: Aghalabu ya Wamarekani wanataka kura ya wananchi kuamua mshindi wa urais
Mar 28, 2019 00:14Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani wanataka kura wanazopiga ndizo ziamue mshindi wa uchaguzi wa rais badala ya mfumo wa hivi sasa wanaoutumia kumchagua rais.
-
Malalamiko ya Wademocrat wa Marekani kwa ripoti ya Mike Mueller
Mar 26, 2019 22:08Ushindi wa ghafla na uliojaa utata alioupata Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwezi Novemba 2016 ulipokewa kwa hasira kubwa na chama cha Democrat cha nchi hiyo.
-
Mikwaruzano inazidi kushadidi kati ya Marekani na Russia kuhusiana na Venezuela
Mar 26, 2019 02:24Kauli za tuhuma na uafriti wa Marekani dhidi ya Russia na Venezuela vimezidi kupamba moto kufuatia hatua ya Moscow kutuma shehena ya misaada nchini Venezuela.
-
Ndege ya kijeshi ya Marekani yapeleka magaidi 29 wa Daesh (ISIS) nchini Algeria
Mar 25, 2019 22:37Duru za usalama za Algeria zimetangaza kuwa, magaidi 29 wa Daesh wapelekwa nchini humo kwa ndege ya kijeshi ya Marekani.
-
Sisitizo la Rais Maduro kuwa Marekani inahusika na ugaidi na uharibifu nchini Venezuela
Mar 25, 2019 22:35Rais Donald Trump wa Marekani katika chote cha utawala wake amekuwa akifuatilia sera za kuiangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro nchini Venezuela kutokana na kuwa rais huyo anafuata sera za mrengo wa kushoto za kupinga ubeberu na ubepari wa Marekani na Wamagharibi.
-
"Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni sera ya pamoja ya Marekani na Utawala wa Kizayuni
Mar 25, 2019 07:57Jitihada za kushadidisha "Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni ajenda daima ya sera za pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel. Maudhui hii ni moja kati ya ajenda muhimu ambazo Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anafuatilia katika safari yake nchini Marekani.