-
Maafisa wa Tume ya Uchaguzi DRC wakanusha madai ya ufisadi ya Marekani
Mar 24, 2019 03:05Mwenyekiti wa Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo CENI, Corneille Nangaa pamoja na maafisa wengine wawili wa ngazi za juu wa tume hiyo wamekanusha vikali madai ya Marekani kwamba walihusika katika ufujaji wa fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi uliopita nchini humo.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; na bwabwaja za Mike Pompeo
Mar 23, 2019 21:56Kutekeleza siasa za kuyawekea vikwazo mataifa mengine hususan wapinzani na mahasimu wa Marekani, ni moja ya nguzo kuu za siasa za kigeni za Washington katika duru ya uongozi ya Rais Donald Trump.
-
Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini
Mar 23, 2019 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitizia umuhimu wa kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa Marekani na Mike Pence, Makamu wake wa Rais.
-
Indhari mpya ya Marekani dhidi ya Venezuela; njama ya Washington ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya Rais Maduro
Mar 23, 2019 03:16Katika miaka mitatu ya hivi karibuni, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro.
-
Syria: Marekani ndio tishio la usalama na amani ya kimataifa
Mar 22, 2019 20:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria sambamba na kulaani vikali matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, imesema kuwa siasa za kupenda kujitanua na za mabavu za Washington, ndio sababu kuu ya kuibuka ghasia na tishio kwa usalama na uthabiti wa kimataifa.
-
Sayyid Khatami: Malengo ya Marekani Asia Magharibi Mpya ni kuidhibiti Iraq, Syria na Lebanon
Mar 22, 2019 10:22Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, malengo ya Marekani katika kubuni Asia Magharibi Mpya, ni kuzidhibiti Iraq, Syria na Lebanon na amesisitiza kwamba, si tu Washington haitoweza kufikia malengo yake hayo haramu, lakini pia njama hizo zimepelekea kuundika muqawama imara dhidi ya wavamizi hao.
-
Kukariri Trump porojo lake katika ujumbe wa Nowruz kwa Wairani
Mar 22, 2019 03:12Rais wa Marekani Donald Trump, tangu kwenye kampeni zake za uchaguzi wa rais na mpaka baada ya kuingia Ikulu ya White House Januari 2017, amekuwa akitumia lugha kali na maneno machafu dhidi ya Iran, kwa lengo la kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Naibu Spika wa Ujerumani ataka balozi wa Marekani nchini humo afukuzwe
Mar 19, 2019 23:02Naibu Spika wa Bunge la Ujerumani ametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Marekani kutokana na kile alichokitaja kuwa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Ulaya.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq: Marekani haina ruhusa ya kutumia ardhi ya Iraq dhidi ya Iran
Mar 17, 2019 21:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq amesisitiza kuwa, Marekani haina ruhusu ya kuzichukulia hatua nchi jirani hususan Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupitia ardhi ya Iraq.
-
Tishio la Marekani kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)
Mar 17, 2019 04:22Tokea aanze kuitawala Mareakni, Rais Donald Trump amekuwa akikosoa vikali na kuonyesha dharau kubwa kwa taasisi za kimataifa. Trump ni mkosoaji na mpinzani mkubwa wa Umoja wa Mataifa na sera za umoja huo na amekuwa akitishia mara kwa mara kuwa Marekani itapunguza msaada wake wa kifedha kwa taasisi hiyo ya kimataifa.