Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mashambulizi ya anga

  • Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Sep 12, 2019 05:55

    Muungano wa kimataifa wa eti kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani uliundwa mwaka 2014 kwa madai ya kukabiliana na genge hilo la kigaidi, na umekuwa ukifanya mashambulizi ya kiholela nchini Syria bila ya kuwa na taathira zozote za maana mbaya kwa genge hilo la ukufurishaji.

  • Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai

    Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai

    Jul 20, 2019 02:54

    Jeshi la Misri limetangaza kuwa limeua magaidi 20 katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • 40 wauawa, 80 wajeruhiwa katika shambulizi la anga dhidi ya kituo cha wahajiri Libya

    40 wauawa, 80 wajeruhiwa katika shambulizi la anga dhidi ya kituo cha wahajiri Libya

    Jul 02, 2019 22:19

    Watu wasiopungua 40 wameuawa huku wengine zaidi ya 80 wakijeruhiwa katika shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Nov 21, 2018 04:16

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) zimedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 37 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.

  • Utafiti: Mashambulizi ya anga ya Marekani huko Somalia hayana tija

    Utafiti: Mashambulizi ya anga ya Marekani huko Somalia hayana tija

    Nov 11, 2018 10:50

    Utafiti mpya umesema mashambulizi ya anga yanayofanywa kila uchao na Marekani nchini Somalia yameshindwa kulitokomeza au hata kulidhoofisha kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na badala yake yamekuwa na taathira hasi kwa raia wa kawaida.

  • Russia yataka uchunguzi ufanyike kuhusu muungano wa Marekani kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Syria

    Russia yataka uchunguzi ufanyike kuhusu muungano wa Marekani kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Syria

    Oct 14, 2018 04:19

    Baada ya kuzuka machafuko na vita vya ndani nchini Syria Marekani imekuwa ikishirikiana kwa karibu na magaidi wa kitakfiri pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu kwa ajili ya kuing'oa madarakani serikali halali ya Rais Bashar al-Asad wa nchi hiyo.

  • Mashambulizi ya anga ya Saudia yaua wavuvi 18 wa Yemen

    Mashambulizi ya anga ya Saudia yaua wavuvi 18 wa Yemen

    Sep 19, 2018 01:53

    Wavuvi wasiopungua 18 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya boti za wavuvi hao katika mji wa Pwani wa Khokha, magharibi mwa mkoa wa Hudaydah.

  • Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Jul 14, 2018 03:24

    Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Baada ya Erdoğan kutishia kuishambulia Iraq, jeshi la Uturuki lashambulia ngome za PKK

    Baada ya Erdoğan kutishia kuishambulia Iraq, jeshi la Uturuki lashambulia ngome za PKK

    Mar 21, 2018 23:48

    Jeshi la Uturuki limefanya mashambuli ya anga katika maeneo yanayodaiwa na Ankara kuwa ni maficho na ngome za wapiganaji wa Kikurdi wa PKK kaskazini mwa nchi jirani ya Iraq.

  • Watu wasiopungua 15 wauawa katika mashambulizi ya anga ya Saudi huko Sana'a na katika miji mingine

    Watu wasiopungua 15 wauawa katika mashambulizi ya anga ya Saudi huko Sana'a na katika miji mingine

    Dec 25, 2017 11:17

    Televisheni ya al Masirah imetangaza kuwa watu wasiopungua 15 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga ya Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali huko Yemen, ukiwemo mji mkuu Sana'a.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS