-
Zaidi ya 50 wauawa katika hujuma za anga za Saudia nchini Yemen
Dec 13, 2017 23:42Watu zaidi ya 50 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika mji mkuu, Sana'a na miji mingineya Yemen.
-
Ndege za kivita za Saudia zashambulia uwanja wa ndege wa Sana'a, Yemen
Nov 15, 2017 03:45Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya uwanja wa ndege ulioko katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a, na kufanya hali ya mambo katika nchi hiyo kuwa mbaya zaidi.
-
Marekani yaendelea kuua raia wasio na hatia nchini Afghanistan katika hujuma ya anga
Nov 09, 2017 04:23Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA umesema mashambulizi ya anga ya hivi karibuni yaliyotekelezwa na ndege ya kivita ya Marekani yameua raia wasiopungua 10.
-
HRW: Mashambulizi ya anga ya Saudia dhidi ya Yemen ni jinai za kivita
Sep 12, 2017 10:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch sambamba na kulaani mashambulizi ya anga yanayofanywa na Saudi Arabia na waitifaki wake dhidi ya Yemen kinyume cha sheria, limetaja hujuma hizo kuwa ni jinai za kivita.
-
Marekani yaendeleza ukatili wake, yaua raia 30 Afghanistan
Aug 30, 2017 22:22Makumi ya raia wameuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na ndege ya kivita ya Marekani katika mkoa wa Logar, mashariki mwa Afghanistan.
-
Wayemen waandamana kulaani ukatili wa Saudia dhidi yao
Aug 27, 2017 03:13Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano katika mji mkuu Sana'a kulaani ukatili na mashambulizi ya kila uchao ya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini.
-
UN: Hujuma za Saudi zimesababisha nusu ya vifo vya watoto Yemen
Aug 18, 2017 03:38Umoja wa Mataifa umesema asilimia 51 ya vifo na majeraha ya watoto wadogo nchini Yemen mwaka uliopita, yamesababishwa na mashambulio ya anga yanayofanywa na ndege za muungano wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini jirani yake.
-
Marekani yaendeleza ukatili, yaua raia 38 katika hujuma za anga Syria
Aug 17, 2017 02:18Ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani zimeendeleza hujuma zake za kikatili, na mara hii zimeua raia 38 katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria, ndani ya masaa 48 yaliyopita.
-
Ndege za Israel zashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza
Aug 09, 2017 02:50Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia makazi ya Wapalestina wa Gaza usiku wa kuamkia leo na kujeruhi watu kadhaa.
-
Ndege za kivita za Marekani zaendelea kuua raia Syria
Jul 30, 2017 23:57Raia sita wameuawa na wengine zaidi ya kumi kujeruhiwa mashariki mwa Syria, katika mashambulizi ya ndege za kivita za muungano eti wa kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani.