-
Marekani yakiri kuua mamia ya raia katika hujuma zake za anga Iraq, Syria
Jun 03, 2017 03:27Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa raia zaidi ya 484 wa Iraq na Syria wameuawa katika mashambulizi yake ya anga tokea katikati ya mwaka 2014 hadi sasa.
-
Mashambulizi ya anga ya Marekani yaua raia 117 mashariki mwa Syria
May 26, 2017 09:47Mashambulizi ya anga ya Marekani na waitifaki wake yameuawa raia wasiopungua 117 akthari yao wakiwa wawanake na watoto wadogo katika mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.
-
Marekani yakiri kuhusika na shambulizi dhidi ya msikiti nchini Syria
May 05, 2017 09:07Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) hatimaye imekiri kuwa ndege za kijeshi za US zilitekeleza shambulizi a anga dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Wazayuni washambulia kwa makombora uwanja wa ndege Damascus, Syria
Apr 27, 2017 03:48Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulizi la anga dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus nchini Syria, wiki tatu baada ya Marekani kutekeleza hujuma kama hiyo ya kichokozi.
-
HRW yalaani shambulizi la Marekani dhidi ya msikiti nchini Syria
Apr 18, 2017 11:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelaani shambulizi la anga la Marekani dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria mwezi uliopita, ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Jeshi la Libya lashambulia maeneo ya al Qaida
Mar 13, 2017 03:37Jeshi la Libya limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya kundi la kigaidi la al Qaida katika eneo lenye mafuta mengi linalojulikana kwa jina la "Hilali ya Mafuta" kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Hujuma za Marekani nchini Yemen zaua watu zaidi ya 50
Jan 29, 2017 10:43Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la hujuma za ardhini na angani za makomandoo wa Marekani katika mkoa wa Bayda nchini Yemen.
-
Marekani yakiri kuuliwa raia katika mashambulizi huko Syria
Jan 03, 2017 03:46jeshi la Marekani limekiri kuwa makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za nchi hiyo huko Syria.
-
Ndege za kivita za Uturuki zauwa raia kaskazini mwa Syria
Dec 23, 2016 03:18Makumi ya raia wameuliwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Syria.
-
Makumi ya mamluki wa Saudia waangamizwa katika shambulizi Yemen
Dec 18, 2016 11:39Makumi ya mamluki wa Saudi Arabia wanaomuunga mkono rais mtoro wa Yemen Abdu Rab Mansur Hadi wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, katika mji bandari wa Aden, kusini mwa nchi.