-
Watu wa Yemen, wahanga wa njama za Aal Saud
Mar 17, 2016 12:03Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amesema kuwa zinafanyika jitihada za kufikiwa mapatano ya kusitisha vita nchini humo licha ya Saudi Arabia kuzidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.
-
Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi
Mar 17, 2016 05:57Raia kadhaa wanaripotiwa kuuawa katika machafuko yanayoendelea huko kusini mwa Burundi.
-
Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi
Mar 17, 2016 03:33Raia kadhaa wanaripotiwa kuuawa katika machafuko yanayoendelea huko kusini mwa Burundi.
-
Iran: Umoja wa Mataifa ufuatilie mauaji ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen
Mar 16, 2016 11:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaka Umoja wa Mataifa ufuatilie mauaji yanayofanywa Saudi Arabia dhidi ya raia huko Yemen.
-
Mashambulio ya anga ya utawala wa Aal Saud yaendelea kuua raia wasio na hatia Yemen
Mar 13, 2016 00:01Ndege za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Aal Saud zinaendelea kuua raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Saudia yazidisha mashambulizi dhidi ya raia, misikiti ya Yemen
Mar 11, 2016 00:18Saudi Arabia na washirika wake wamezidisha mashambulizi ya anga dhidi ya makazi ya raia na maeneo ya ibada nchini Yemen.
-
40 wauawa Libya katika hujuma ya ndege ya Marekani
Feb 19, 2016 10:05Mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa na ndege ya kivita ya Marekani yamesababisha mauaji ya watu zaidi ya 40 katika mji wa Sabratha, kaskazini magharibi mwa Libya.
-
Tahadhari kuhusu maafa ya kibinadamu ya Yemen
Feb 19, 2016 04:25Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya watu wa Yemen yanaitumbukiza nchi hiyo katika maafa makubwa ya kibinadamu.
-
Mashambulio ya Saudia yaua makumi ya raia wa Yemen
Feb 14, 2016 03:39Watu 15 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa alfajiri ya kuamkia leo na ndege za kivita za utawala wa Aal Saud katika mji wa kale na wa kihistoria wa Kaukaban ulioko mkoani Al Mahwit magharibi mwa Yemen.